Yaani hadi msemeNimemkubali McConnell 🙌
Unadhani Nina maoni yapi ndugu mjumbe?Saint Anne kwani una maoni gani?
Thank u VAR 💙
Just remove H in hendo and boom…. You have the human machine
Hongereni sana Livakuku. Mmenifurahisha sana. Nishasema pia kuwa hili kombe ndiyo size yenu. Nimefurahi mmepata mnachostahiliHENRY14 hili kombe mngeshinda nyie arsenyani,muda huu mmgekuwa bado mnabwabwaja madomo
Ona wenzenu tushalala na kombe bado la motoooo,hata nusu siku halijamaliza .
Huwa haina haja ya kupiga kelele. Slow and steady wins the race.Hongereni sana Liverpool. Kwanza kwa kushinda kombe na pili kwa kuzipiga zile kenge zinazoaibisha jiji la London na ligi kwa ujumla.
Hili sasa ndiyo size yenu. Jipongezeni na mpumzike sasa. Mengine tuachieni tuyapambanie sisi timu kubwa kubwa.
When was the last time assess won epl?Hongereni sana Liverpool. Kwanza kwa kushinda kombe na pili kwa kuzipiga zile kenge zinazoaibisha jiji la London na ligi kwa ujumla.
Hili sasa ndiyo size yenu. Jipongezeni na mpumzike sasa. Mengine tuachieni tuyapambanie sisi timu kubwa kubwa.
Hivi vichaka vyenu cha 'when was the last time... na ucl..' vinaelekea kufyekwa muda si mrefu sana.When was the last time assess won epl?
Have you ever won ucl ?
Jibu swaliHivi vichaka vyenu cha 'when was the last time... na ucl..' vinaelekea kufyekwa muda si mrefu sana.
Uzuri wa UCL wengi wamebeba na kutegemea na form na bahati, yeyote anaweza kubeba. Ndiyo maana hata timu kubwa na kongwe kama Liverpool bado hawajafikia kulibeba mara 10.
Nimewaona Chelkenge wakilibeba mara 2 wakiwa wao ndiyo underdogs. Nimemuona Liverpool fainali 1st half amepigwa 3-0 na AC Milan lakini mpira unaisha yeye ndiye aliyekabidhiwa kombe.
In short, soon, brother, soon.