[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Arsenyau hio ni kawaida yao, ukiwauliza kuhusu mara ya mwisho kuwin Epl au Uefa lazima wakuandikie Tanzia ya marehemu[emoji23][emoji23][emoji23]Jibu swali
Maneno mureeefu kama mjaluo
Asses will always be inferior to Lfc
And this season pia hali itaendelea kuwa hivyo
Ukiona maji yanawasha sana rudi jukwaa lenu
Simple sana.Jibu swali
Maneno mureeefu kama mjaluo
Asses will always be inferior to Lfc
And this season pia hali itaendelea kuwa hivyo
Ukiona maji yanawasha sana rudi jukwaa lenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau ndio timu kubwakubwa?Hongereni sana Liverpool. Kwanza kwa kushinda kombe na pili kwa kuzipiga zile kenge zinazoaibisha jiji la London na ligi kwa ujumla.
Hili sasa ndiyo size yenu. Jipongezeni na mpumzike sasa. Mengine tuachieni tuyapambanie sisi timu kubwa kubwa.
Hakuna kichaka kinafyekwa na wembeSimple sana.
UCL hatuna yaani 0.
EPL tunaelekea kutimiza mwaka wa 20 bila kuigusa.
Yote haya najua unajua. Ndiyo maana ninasema hivyo vichaka vitafyekwa muda si mrefu. Hatuna budi kuwa na subira.
Jamaa ndio maana huwa wanaishia kutukana timu yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau ndio timu kubwakubwa?
Hayo maswali tumeyazoea na sasa tunaanza kujiweka katika nafasi ya kuyajibu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Arsenyau hio ni kawaida yao, ukiwauliza kuhusu mara ya mwisho kuwin Epl au Uefa lazima wakuandikie Tanzia ya marehemu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanapenda zaidi kuulizwa kuhusu makombe ya FA na Emirates[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hio kauli ya vichaka vitafyekwa muda si mrefu tulianza kuisikia tokea kipindi cha mzee Wenger.Simple sana.
UCL hatuna yaani 0.
EPL tunaelekea kutimiza mwaka wa 20 bila kuigusa.
Yote haya najua unajua. Ndiyo maana ninasema hivyo vichaka vitafyekwa muda si mrefu. Hatuna budi kuwa na subira.
Unaweza kuwa na akili ndogo kwa sasa ila muda upo upande wako. Utazidi kukua na kuelimika na tutaelewana tu.Hakuna kichaka kinafyekwa na wembe
Labda pubic hair
Kama ni laana za ulimwengu wa nje ya mifupa na nyama naamini mpaka sasa tumeshaitumikia. Tumeanza kuona nuru. Tukiendelea hivi wana Gunners wa JF tutazeeka vizuri sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hio kauli ya vichaka vitafyekwa muda si mrefu tulianza kuisikia tokea kipindi cha mzee Wenger.
Arsenyau nyie mkubali tu kua timu yenu ni Fungu la Kukosa FC.
Zikizungumziwa hizo tupo. Si umeona hata manyumbu wanazungumziwa miongoni mwa timu kubwa kwa sasa ingawa miaka 4-5 hii mmekuwa na changamoto kibao na msipoangalia mnaweza kujikuta tunakojaribu kutoka sisi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau ndio timu kubwakubwa?
Here we goUnaweza kuwa na akili ndogo kwa sasa ila muda upo upande wako. Utazidi kukua na kuelimika na tutaelewana tu.
Mtatoa pongezi hadi mwisho huku mkiambulia kunyanyua kikombe cha maji mnyweHongereni sana Livakuku. Mmenifurahisha sana. Nishasema pia kuwa hili kombe ndiyo size yenu. Nimefurahi mmepata mnachostahili
Wenzenu hata final wamefika licha ya ubovu wao woteHongereni sana Liverpool. Kwanza kwa kushinda kombe na pili kwa kuzipiga zile kenge zinazoaibisha jiji la London na ligi kwa ujumla.
Hili sasa ndiyo size yenu. Jipongezeni na mpumzike sasa. Mengine tuachieni tuyapambanie sisi timu kubwa kubwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau ndio timu kubwakubwa?
Hivi huyu ndo Adrian!?Huyu Mwamba anajikusanyia Medali za bure za Uzeeni tu.
Mganga wake mkali sana.View attachment 2916679View attachment 2916679
Hivi huyu ndo Adrian!?
Toka nijitambue sijawahi kumuona hata mara moja uwanjani akidaka.
Hao wana laana ya Arsene WengerKenge na nyumbu mtachukua EPL kabla ya hawa nyani ambao wanasugua Gaga mwaka wa 20 huu🤣🤣🤣
Kuna community shield moja alidaka vizuri sana na akawa heroHivi huyu ndo Adrian!?
Toka nijitambue sijawahi kumuona hata mara moja uwanjani akidaka.