Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Arsenyau hio ni kawaida yao, ukiwauliza kuhusu mara ya mwisho kuwin Epl au Uefa lazima wakuandikie Tanzia ya marehemu[emoji23][emoji23][emoji23]Jibu swali
Maneno mureeefu kama mjaluo
Asses will always be inferior to Lfc
And this season pia hali itaendelea kuwa hivyo
Ukiona maji yanawasha sana rudi jukwaa lenu
Wanapenda zaidi kuulizwa kuhusu makombe ya FA na Emirates[emoji16][emoji16][emoji16]