Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2916984

Unaona jinsi liverpool wenyewe walivyofurahi walipolibeba hilo sinia?
Kufurahi baada kubeba sinia hio ni kila mtu lazima afurahi, hata nyumbu na kenge tukichukua sinia la mihogo tutafurahi siku hiohio ya kula mihogo lakini hatuwezi kujivunia kama nyie Arsenyani.
Lile kwanza ni Bonanza tu sio mashindano, hivyo sio kitu cha kukaa na kujivunia mbele za watu, ndio maana humu haujawahi kuwasikia Liverpool, Chelsea, Man Utd au Man City wakijivunia kubeba sinia la Bonanza lakini Arsenyau kwenu lile mnaliona kama kombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hao wengine hawazungumzii kwa sababu hawana hii karibuni. Sie letu la msimu huu na tunasema ili mjue tupo.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mbali na wewe kupost hapa sasahivi,uliona kuna mtu anahangaika na hizo picha za masinia humu?achilia mbali kuongelea stori zakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jitoe tu ufahamu. Mlifanya balaa sana mjini tukadhani mmeshinda uefa.

Hata hivyo, kama sasa hamtaki kujivunia sinia, sisi tutajivunia na makombe yote hayo ndani ya muda mfupi tutaanza kuyabeba na tutayabeba sana.
 
Jitoe tu ufahamu. Mlifanya balaa sana mjini tukadhani mmeshinda uefa.

Hata hivyo, kama sasa hamtaki kujivunia sinia, sisi tutajivunia na makombe yote hayo ndani ya muda mfupi tutaanza kuyabeba na tutayabeba sana.
Mbona hamebebi sasa
Kweli Mungu akikunyima makombe anakupa domoπŸ˜‚
 
Mbona hamebebi sasa
Kweli Mungu akikunyima makombe anakupa domoπŸ˜‚
Naona huku mtandaoni unakuwa mgumu kunielewa. Bora tukutane uwanjani tumalizane.

Ombeni special rematch na sisi kwa FA. Wombeni turudie ile mechi ya anfield tuliyotoka 1-1. masharti waombeni kwamba mkitufunga mpewe points 9 ila sisi tukiwafunga tupewe 3 kama kawaida. Na zihesabike kama sehemu ya msimu huu.
 
Hatuna muda na wanyonge
 
Nimemkubali McConnell πŸ™Œ
Huyu mzee huenda alikua hataki shauli za wengine mana ilikua hata tukishinda ushindi mnono bado alikua hapangi vijana anawaganda kina Milna wake bilashaka kachoka kweli.

Huyu dogo sijui ni fabi ajae au Gerrard ajae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…