Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
Kufurahi baada kubeba sinia hio ni kila mtu lazima afurahi, hata nyumbu na kenge tukichukua sinia la mihogo tutafurahi siku hiohio ya kula mihogo lakini hatuwezi kujivunia kama nyie Arsenyani.
Lile kwanza ni Bonanza tu sio mashindano, hivyo sio kitu cha kukaa na kujivunia mbele za watu, ndio maana humu haujawahi kuwasikia Liverpool, Chelsea, Man Utd au Man City wakijivunia kubeba sinia la Bonanza lakini Arsenyau kwenu lile mnaliona kama kombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]