Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Oya naumwa bwana ila pongezi zenu reds mmetuheshimisha weekend ilienda poa kabisa japo na kuumwa ila mliniongezea faraja NYWA.
 
Kweli penye miti hapana wajenzi.
Hili kombe wangelipata akina HENRY14 yaani tungekuwa tunasikia kelele kama mavuvuzela.
Tangu tushinde ile FA Cup ya na zile community shields mbili hatujabeba kombe lingine. Tukiwa na matumaini ya kutwaa ubingwa hivi karibuni, lazima tungepiga domo kama tungeshinda league cup ili tuzoee.
 
Tangu tushinde ile FA Cup ya na zile community shields mbili hatujabeba kombe lingine. Tukiwa na matumaini ya kutwaa ubingwa hivi karibuni, lazima tungepiga domo kama tungeshinda league cup ili tuzoee.
Kweli Pele humuota asiye na kucha

Mungu amewajaalia mavuvuzela mdomoni ndugu zetu arse8
Ila vikombe hawapo ng'oo hata wabwabwaje vipi.


Hapa tungesikia mambo ya kuovalodi
Sijui double Nini,sijui pressing build up
Yaani tungesikia maruweruwe kibao.
 
Zamani tulikuwa tunawachambulia boli maana wengi humu ni washabiki ila siyo wataalam wa mbinu. Kuna wachambuzi humu kina MosDef, kina Ngwaba na Bobby. Huwa wanatufundisha mengi. Kule kwetu kuna kina Castr na Hamis nao wanaujuzi mkubwa wa mpira na wanatufunza mengi. Hayo ma inverting na maoverloading unayasikia sana kwetu kwa sababu sisi tunazitumia sana hizi mbinu. Kwenu utasikia sana 'runners' na 'overlap' kwa sababu ndiyo mbinu zenu. Kwa manyumbu utasikia sana 'paki basi vizia kaunta'.
 
Kule hakuna wachambuzi
Wapo mashabiki... Hata ule ujuzi kidogo mliokuwa nao umemezwa na ushabiki.

Hakuna jukwaa lenye wajuzi wa mpira kama Liverpool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…