Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
Oya naumwa bwana ila pongezi zenu reds mmetuheshimisha weekend ilienda poa kabisa japo na kuumwa ila mliniongezea faraja NYWA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nasikia ni mtu muhimu sana kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
Ana mchango wa kutia hamasa ndani ya timu.
Sio mbaya hatupunguzii chochote,mwache ale mafao ya uzeeni.Haya ndiyo yaleyale ya Henderson tuliyokuwa tukiambiwa
Acheni siasaHuyu nasikia ni mtu muhimu sana kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
Ana mchango wa kutia hamasa ndani ya timu.
Tangu tushinde ile FA Cup ya na zile community shields mbili hatujabeba kombe lingine. Tukiwa na matumaini ya kutwaa ubingwa hivi karibuni, lazima tungepiga domo kama tungeshinda league cup ili tuzoee.Kweli penye miti hapana wajenzi.
Hili kombe wangelipata akina HENRY14 yaani tungekuwa tunasikia kelele kama mavuvuzela.
Ndo wanavyodai mkuu😀Acheni siasa
Kweli Pele humuota asiye na kuchaTangu tushinde ile FA Cup ya na zile community shields mbili hatujabeba kombe lingine. Tukiwa na matumaini ya kutwaa ubingwa hivi karibuni, lazima tungepiga domo kama tungeshinda league cup ili tuzoee.
Zamani tulikuwa tunawachambulia boli maana wengi humu ni washabiki ila siyo wataalam wa mbinu. Kuna wachambuzi humu kina MosDef, kina Ngwaba na Bobby. Huwa wanatufundisha mengi. Kule kwetu kuna kina Castr na Hamis nao wanaujuzi mkubwa wa mpira na wanatufunza mengi. Hayo ma inverting na maoverloading unayasikia sana kwetu kwa sababu sisi tunazitumia sana hizi mbinu. Kwenu utasikia sana 'runners' na 'overlap' kwa sababu ndiyo mbinu zenu. Kwa manyumbu utasikia sana 'paki basi vizia kaunta'.Kweli Pele humuota asiye na kuchat
Mungu amewajaalia mavuvuzela mdomoni ndugu zetu arse8
Ila vikombe hawapo ng'oo hata wabwabwaje vipi.
Hapa tungesikia mambo ya kuovalodi
Sijui double Nini,sijui pressing build upŹ
Yaani tungesikia maruweruwe kibao.
Kule hakuna wachambuziZamani tulikuwa tunawachambulia boli maana wengi humu ni washabiki ila siyo wataalam wa mbinu. Kuna wachambuzi humu kina MosDef, kina Ngwaba na Bobby. Huwa wanatufundisha mengi. Kule kwetu kuna kina Castr na Hamis nao wanaujuzi mkubwa wa mpira na wanatufunza mengi. Hayo ma inverting na maoverloading unayasikia sana kwetu kwa sababu sisi tunazitumia sana hizi mbinu. Kwenu utasikia sana 'runners' na 'overlap' kwa sababu ndiyo mbinu zenu. Kwa manyumbu utasikia sana 'paki basi vizia kaunta'.
Ya mwaka gani Mkuu?Alitusaidia kupata UEFA super cup na chelkenge.
Akina naniNdo wanavyodai mkuu😀
2019 super cup, Instabul.Ya mwaka gani Mkuu?
Nitafute nimuone
Come on😅Akina nani
Tofauti yetu ni liverpool mnafanya uchambuzi kwa upole, sisi kwa hasiraKule hakuna wachambuzi
Wapo mashabiki... Hata ule ujuzi kidogo mliokuwa nao umemezwa na ushabiki.
Hakuna jukwaa lenye wajuzi wa mpira kama Liverpool.
The blue biliions vs the academy kids.
Envy of many... Well if that simple.. Colour ua trophy wall like the Reds wall.