Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Kwa taarifa zilipo. Edward anataka full control. Hiki kitu ndicho kilifanya aondoka. This time FSG hawachomoi aisee.

Na Edward atakubali hii ofa as long as Klopp hayupo hawajui ajaye atafanya yapi bora wakubali ya Edward.

Good thing FSG wameona hamna haja ya kumtegemea ajaye kama Klopp maana hasara kwa kutoshiriki CL wameiona, kuboronga last season wamelamba hasara pia.

Edward ni kichwa cha mpira, naamini selection ya players na kocha vitatoka kwake. He is that guy anaviona vipaji na adavantage yetu kwake anaendana na msuli wa kiuchumi wa FSG, he knows them very well.

Makocha mpaka sasa wanaowaniwa
1. Alonso
2. Amorim.

Ngoja tuone FSG watamkubalia ombi la kutaka FULL control?

YNWA
 
Kabisa mkuu
 
Mmiminieni mpunga mwingi na mpeni uhuru wa kufanya mambo bila kumzingua.
 
Well said bro....
Kudos kwa vijana wetu wamekua wamepikika haswa wapo tayari kupambania jezi popote iwe ugenini au nyumbani, kwa hili tu niseme saluti kwa wote walioshiriki maadalizi yale.

YNWA
 
Goaaaaaaaaaaaalllll, Goooooooooooooooooooooalll, Gooooooooooooooolll
 
Arsenyani haina tofauti na mwanafunzi anayemcheka mwenzie kwa kupokea Pepa lenye marks 12/100 asijue lake linakuja Lina 12 hiyohiyo.
Kama mwanafunzini anachekwa kwa kupata 12/100 kuna shida. Huyo ni wa kuhurumiwa na kukazaniwa.

Hata hivyo tukirudi kwenye makombe, nyie si mmeshapata moja tayari? Timu ni nyingi na makombe ni machache. Mnaleta uroho? Nyie ni wale wanafunzi mnaolilia na kupambania wali mchuzi wenye vipande vitatu vya nyama wakati kila mtu anapewa kipande kimoja
 
Kaka sasa hivi tunayataka yote hatujui kocha ajae atakuja na sera ipi wacha tumuage klopp vizuri
 
Kaka sasa hivi tunayataka yote hatujui kocha ajae atakuja na sera ipi wacha tumuage klopp vizuri
Alonso naye atakuja na sera hiyo hiyo maana si hatakubali kufanya chini ya kiwango cha aliyemuachia kijiti? Klopp anaweza akapata 'rush' ama 'high' ya kushinda makombe akaomba abaki aendelee kufundisha Liverpool
 
Sasa umeona namna arsenyani mlivyo na shida.
Hiyo man u mnayoicheka ni miaka michache tu ilibeba Pl na msimu uliopita ndio walikuwa mabingwa wa Carabao wakati nyie mkiwa mikono mitupu.
 
Sasa umeona namna arsenyani mlivyo na shida.
Hiyo man u mnayoicheka ni miaka michache tu ilibeba Pl na msimu uliopita ndio walikuwa mabingwa wa Carabao wakati nyie mkiwa mikono mitupu.
Manyumbu hata washinde UCL hatuwezi kuwakubali wale mahasimu wetu. Wale tunachowatakia ni vipigo vya kutosha lakini wasishuke tu daraja ili tuendelee kuwafuatilia kwa ukaribu na kuwacheka
 
Usijali itakuja Soda hiyo.

Nunez hakujali Jones mgonjwa sukumia huko tutajua baadae… Szobo akafuata tena kwa nyuma sukumia Jones huko. By the way its a joy kutokana na vitoto kuvishikisha adabu £200M Mf’s.

YNWA
Wale wazima wa afya
Kasobo kamemrukia Klopp kamepaa angani utadhani Rey Mysterio anapiga teke za kamba zile aisee 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…