Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jones anachezaje mbele ya Gini?

Trent alipata namba baada ya Clyne kuumia tofauti na hapo huwezi kumtumia kama mfano

Klopp sasa hivi madogo anawatumia kuliko kipindi chochote kile tangu awe pale mitaa ya Merseyside
Ni majeruhi ya senior players. Wakipona wote anawarudisha benchi.

Hana Uthubutu wa kuwaamini watoto, japo anapokwama anawatumia na wanampa matokeo. Hata dak za mwisho akiwa anaongoza, bado aliwaingiza kina Milner.

Ni mwoga katika hilo, japo ni jasiri katika mengi.
 
Kabisa mkuu naww naona umeliona hilo
 
Jones anachezaje mbele ya Gini?

Trent alipata namba baada ya Clyne kuumia tofauti na hapo huwezi kumtumia kama mfano

Klopp sasa hivi madogo anawatumia kuliko kipindi chochote kile tangu awe pale mitaa ya Merseyside
Sasa vp nisimtumie Kama mfano wakati ni academy graduate? Sasa unataka academy graduate apate namba wakati Kuna regular player? hivi wewe unaujua mpira kweli? Hata kina Robbie Fowler na Michael Owen walipata namba baada ya regular/senior players kupata injuries or otherwise
hemu nitajie kocha yeyote duniani ambaye alimuacha regular/senior player akampa nafasi academy/junior player??
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…