a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,456
- 1,459
Ni majeruhi ya senior players. Wakipona wote anawarudisha benchi.Jones anachezaje mbele ya Gini?
Trent alipata namba baada ya Clyne kuumia tofauti na hapo huwezi kumtumia kama mfano
Klopp sasa hivi madogo anawatumia kuliko kipindi chochote kile tangu awe pale mitaa ya Merseyside
Hana Uthubutu wa kuwaamini watoto, japo anapokwama anawatumia na wanampa matokeo. Hata dak za mwisho akiwa anaongoza, bado aliwaingiza kina Milner.
Ni mwoga katika hilo, japo ni jasiri katika mengi.