Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Injuries ndio balaa katika kipindi cha kuwania ubingwa na ndicho kipindi cha akili ya kocha na uwezo wa wachezaji unapoonekana.

Mkiwakosa hao kwa wakati mmojaupepo unaweza kubadilika
 

Kipindi cha february kilikuwa kigumu kitimu ila kimatokeo sote tumefurahia. Monster mentality pia inasaidia kukupa matokeo. Nimeona tumepata 22 points kutokans na dk za mwisho ama ushindi au sare.

Subs zetu bado zinaendeleaa kuwa na mchango mkubwa msimu huu.

Licha ya ubovu wa Chelsea, ilikuwa ngumu bila mwanasaikolojia kuhusika kuwaaminisha kina Clark, Danns, Mac Connel na wengine kwamba bila ya Nunez/Salah/Szobo/Trent bado unaweza kufanya maajabu, bado ni mchezaji unayetemewa. Kumbuka ni Wembley and its a final, na sio kwamba majamaa wapo bench wapo juu huko.

Hapo ndipo kina Thiago, Adrian wanaingia kuhusiks kuamsha amsha.
YNWA.
 

Huyo Fabinho sasa,. [emoji81] hata kukimbia hawezi
Kwa ufupi wameenda kula maisha na sio kucheza mpira.

Macca as a DM baada kurudi injury alikuwa vizuri ali improve mno, alikuja kucheza na Endo akasogea juu tumeona ndani ya mechi 5 goli 1 na assist 3.

Nafikiri Gomez ukuta wa nyuma kaumaliza wote. Last match alipiga. LB, CB, RB and DM ndani ya mechi moja.

Yule Doucore kwa Β£80m tungepigwa he is good ila not in that value. Bora tuliopt na kumchukua Endo kwa bei che na kazi inapigwa. Goli la juzi yeye ali intercept vizuri japo wengi hawakuiona au hawaipiti credit ya kutosha kabla mpira haujanfikia Macca.

YNWA
 
So Jumapili tupo na Manchester City Anfied....
Haya waleteee hakuna namna to be the best we beat the best..

YNWA

We will Miss alot Jota and Jone’s services. Ila MF ya Endo, Macca & Szobo itakuwa poa sana. Good thing we have Bradley. Pep alichanga karate zake upande wa Trent this time around tuone ataamua kupitia wapi.

If Salah is fit kuelekea mechi hiyo, aanzie bench no need to risk much. Return inaonesha 10/3

I think our line up will be

Kelleher
Bradley
Konate
Vvd
Robbo
Endo
Macca
Szobo
Nunez
Diaz
Gakpo/Elliot

Kama Salah atacheza dk zozote on thursday basi j’2 ataanza
 

Same same, na hata hivyo hatuna option kubwa
 

Na kama taarifa itakuwa hivyo, basi naona Kelleher akizidi kujiamini zaidi
 
Mwanzoni mwa msimu comments za humu zilikuwa za kinyongenyonge ila sasa zimekuwa za kibabebabe.

Nadhani kila mtu angefurahi kuona kitu kinatokea kwenye ligi cha kufanya comments zirudi kama hapo awali, japo hata kwa mwezi tu.

Kama hauona intuition hai, basi ishi kwa wakati uliopo na matukio yake.

Wengi tuliingia wasi wasi kuhusu timu bila DM na Macca alionekana kupwaya as DM. Lakini imani na msimu mzuri ilikuwepo, kwa sasa matarajio yamevuka mstari tuliouchora kwa nini tusifurahi?

Naamini hata huko kwenu mechi vs Westham na Fulham upepo ulibadilika.

Thats football.

YNWA.
 
Nyie washikaji mna mpaka mwanasaikolojia? Duuh. Watu kwenye ugomvi wa visu mnaleta bunduki πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Angalau sisi tulinunua kimbwa tukakiita 'Win' na chenyewe eti ndiyo ki stress relief companion cha team yetu. Imagine wahuni kama kina Gabriel wakiwa na stress eti wapetipeti kimbwa. At least hiyo haitupi advantage. Ila nyie sasa. Mwanasaikolojia kabisa? Daah! Kweli mnataka Klopp amalize na angalau ka treble.
 
Kweli aisee. Baada ya Fulham niliwapa baraka zote nyie mkachukue tu hiki kiubingwa. Kwanza kiubingwa chenyewe sisi hatukitaki kihivyoo πŸ˜€πŸ˜€ sisi bado tuko phase 3 πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…