Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mkuu umenena kunako, kama timu imepoteza mechi 5 kati ya 11 unaweza kuona kabisa hapo hata refa akiwa Carragher mnaweza fungwa vile vile.
Mimi binafsi simkubali BR japokuwa last season kuna watu humu walidiriki kumfananisha BR na Diego wa Atletico.
hapa ni kuombea apoteze kama mechi tatu hivi, nafikiri itakuwa ndio mwisho wake.
 
Ni kweli team yetu ina matatizo na haiko poa!!!Hongereni sana Chelsea
ILA ubovu wa team yetu isiwe sababu ya kufunika ubovu wa referee, Naye alifanya poor decisions vilevile.

Asante sn Rafiki yangu Mr. Wise
 
Last edited by a moderator:

Mafioso bila mpunga hawashindi ... .. ..
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
[video]https://mtc.cdn.vine.co/r/videos_h264high/274EB17D091142875940486291456_ SW_WEBM_1415457039678266a3579e 8.mp4?versionId=QKhhdJmw32ddh0 5OedptgluY384xrMSl[/video]
 
Umepewa brown envelope weye .. .... .. ..
SG shouts ... ... ... ... .. .
 
Costa na ubabe wake kaambulia torn jersey .. ... .
 
BR on team selection after 3 defeats in just 8 days: i wouldn't do anything differently, We just didnt get the result"..

Hicho ndo kiburi cha BR!!!
 
VIPI? mmefanikiwa yale malengo yenu?

ha ha ha aaha aha ha ahaha haaahaha

SG uwa hamsaada wowote atakama tuzidiweje af BR ndokakomaa nae apige DM,,Hii gemu angepiga lucas nafas ya SG af markovic ya raheem af borin ya balotel daah tungekua tunazungumza mengine saiv but BR kala yamin na mfumo wake
 
Kuna jamaa humu anajifanyaga mchambuzi wa Liverpool na mdau,kajaa kiburi,shame on him
 
Wadau mlioangalia game jana ,(only LFC fans,make kuna CUNTS kibao humu wamevamia uzi) nasikia jana BR kazomewa na Kopites alipofanya sub ya CAN na dogo COUTINHO....ya kweli haya? Cc Malafyale MosDef black kid
 
Last edited by a moderator:
Wadau mlioangalia game jana ,(only LFC fans,make kuna CUNTS kibao humu wamevamia uzi) nasikia jana BR kazomewa na Kopites alipofanya sub ya CAN na dogo COUTINHO....ya kweli haya? Cc Malafyale MosDef black kid

Tulishasema mengi sn kabla ya mechi yetu na yametimia sasa ni zamu yenu kuja kudanganyana na uchambuzi wenu na kufarijiana...!

You will never win again..., losers....!
 
Last edited by a moderator:
Kama ni penalt wote tulinyimwa, sasa kelele za nini? Matokeo ndio hayo. Nadhani sasa mzungumzie mapungufu ya timu yenu kuliko kulalamikia makosa ya Refa.
 
Tulishasema mengi sn kabla ya mechi yetu na yametimia sasa ni zamu yenu kuja kudanganyana na uchambuzi wenu na kufarijiana...!

You will never win again..., losers....!

Duh...hivi unajua wewe ni KIAZI sana? Sasa hiyo post yangu inakuhusu nini? Umejipendekeza kujibu,sawa,mbona hujajibu swali langu?
 
Wadau mlioangalia game jana ,(only LFC fans,make kuna CUNTS kibao humu wamevamia uzi) nasikia jana BR kazomewa na Kopites alipofanya sub ya CAN na dogo COUTINHO....ya kweli haya? Cc Malafyale MosDef black kid

Hakuzomewa!

Ila uwanja tu haukuridhika na subs alizofanya (Can and PC)..

Mwenyewe kwenye Post-match interview anasema Alimtoa PC coz tulikuwa hatucreate nafas zozote zile...(sijui kama unaweza ukaamini hicho kitu)..me nasema kila siku whats costing us ni tactics na team selections za BR, jana tena aliendelea na formation yake ile ile 4-2-3-1..he dropped Kolo, Manquillo and most of all LUCAS..ishakuwa proved kuwa mfumo wa 4-2-3-1 Henderson hauwez kabisa..(huwa anachezeshwa LCM)

MP kakalia kuti kavu sahiv pale Man city..but BR ambaye amespent £212m naona bado anatudharau tu kwa Maneno yake kwenye post-match interviews...anatakiwa akubali kuwa tactics zake zimefail, abadilike, awe mwepesi kukubali ushauri, aibadilishe back-room yote ile na FSG waforce Kuajiri DoF...
 
Last edited by a moderator:
Duh...hivi unajua wewe ni KIAZI sana? Sasa hiyo post yangu inakuhusu nini? Umejipendekeza kujibu,sawa,mbona hujajibu swali langu?

Hao CUNTS KIBAO WALIOVAMIA UZI WENU ULIKUA UKIWASEMA KINA NANI? Unasahau ulichoandika?
 
So tukusaidiaje you prick...????

Sijakutaja,hisia zako tu umeniquote,mi kama blues huna hadhi ya kujibizana na mimi,kwa kipigo uliyopata tumia urasimu kuongeana na mimi,huna hadhi kuongea na mimi
 
Sijakutaja,hisia zako tu umeniquote,mi kama blues huna hadhi ya kujibizana na mimi,kwa kipigo uliyopata tumia urasimu kuongeana na mimi,huna hadhi kuongea na mimi

Hahahahaaaaaaaa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…