kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,975
- 3,829
Mi nadhani tunge focus zaidi kwenye performance ya timu kwa ujumla kuliko kutafuta excuses ambazo hazitasaidia, ingawa zinasaidia kwenye kujifariji.
Goli la pili ni sahihi kabisa, ule mpira haukutoka nje wote (jaribu kuangalia tena highlight). Wakulaumiwa ni Johson ambaye hakuwepo kabisa kwenye eneo lake, ingawa Coutinho alishindwa kumkaba vizuri Az.
Ile kadi ya njano ya Raheem sina uhakika sana, ila nilichokiona RS alim block Ramires kwa mbele ingawa Ramires alikuja kumpa kiwiko RS.
Penati ilikuwa ni "clear" penati, ingawa tungeweza kupewa hiyo penati na kuikosa pia.
Mwisho wa siku kwa tulivyocheza leo tulikuwa hatuna uwezo wowote wa kumfunga Chelsea, ingawa wote tulicheza mpira mbovu.
Sijajua kwa nini Borini hakuanza, Sub ya Coutinho, Sub ya Can, Sub ya Lambert, RS kumaliza dk 90, Lalana kutocheza. Af Moreno bado sana kwenye kuzuia, ndio maana namkubali sana Jose.
mkuu umenena kunako, kama timu imepoteza mechi 5 kati ya 11 unaweza kuona kabisa hapo hata refa akiwa Carragher mnaweza fungwa vile vile.
Mimi binafsi simkubali BR japokuwa last season kuna watu humu walidiriki kumfananisha BR na Diego wa Atletico.
hapa ni kuombea apoteze kama mechi tatu hivi, nafikiri itakuwa ndio mwisho wake.