Diaz akili haipo haraka kama miguu yake.Elliot sijui alikua besti wa Henderson yaani dogo mipira yote anataka kurudisha nyuma hata simwelewi huyu dogo.. Diaz nae mishe ni nyingi sana leo ni kua accurate sio bla bla za hapa na pale...
YNWA
Kama ni mtazamaji wa EPL basi gemu 10 zilizobaki fahamu sio rahisi kwa timu zote aisee...Leo ndio mwisho wa ndoto ya ubingwa,unapigiwa hapo nyumbani kwako 🤣😂😂
Nataka kuona progressive passes mkuu...Bado Yuko vizuri mpaka iishe tuliza moyo jomba
YNWA
Klopp ana kibarua sana haya mapumziko kuwapa maarifa maana mpaka sasa tuna 1 shot on target moja ule mpira wa adhabu wa mwisho kupigwa na Szobo...Diaz akili haipo haraka kama miguu yake.
Mkuu game ya presha hii bado atatulia naamini ..Nataka kuona progressive passes mkuu...
YNWA
Ile free header ya szabo imemnyima dogo assist Kali Sana na angekaa sawa pia ..Elliot sijui alikua besti wa Henderson yaani dogo mipira yote anataka kurudisha nyuma hata simwelewi huyu dogo.. Diaz nae mishe ni nyingi sana leo ni kua accurate sio bla bla za hapa na pale...
YNWA
SALAH anaingia kufungaNamfunga huyu
Naunga mkono hojaSALAH anaingia kufunga
Toa Gomez
Weka Robertson
Tunashinda
Hahaha hajatulia kabisaDiaz anatafuna bangi mbichi