United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
yule mtoto anajua mpira mzee mim mwenyewe nimenyosha mikono kweli wa japan akili nyingi zipo kichwaniMechi yote Mimi nilikuwa namuangalia mchezaji mmoja, yule wataru Endo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule mtoto anajua mpira mzee mim mwenyewe nimenyosha mikono kweli wa japan akili nyingi zipo kichwaniMechi yote Mimi nilikuwa namuangalia mchezaji mmoja, yule wataru Endo.
Uhakika wa kushinda game ya leo sina lakini uhakika pekee nilionao ni kuwa Man City hawatufungi leo ndani ya Anfield.
So, I bet for draw
Kijana yuko makini sanaMechi yote Mimi nilikuwa namuangalia mchezaji mmoja, yule wataru Endo.
Ulitisha Sana mkuu... Binafsi niliamini Tutashinda mbili... Anyway tumecheza vizuri sema bahati haikua upande wetuI was right 100%
Mbona Diaz alikua kwenye kiwango chake sema inshu labda hakua na bahati ya kutupia kamba Ila kawapa hekaheka Sana CityzenNjlisema tangu mapema kuhusu hii game yetu Leo itakuwa 1-1
Mmeona sasa ,ingawaje kiwango cha Leo kwa Diaz Leo hapana
Kwa kikosi hiki cha leo kutoka sare mpaka Pep anamtoa KDB ili azuie ujue amekamatika vilivyo...hua mara chache sana Pep kukamatika kama leo.
Kudos kwa vijana wamecheza vyema sana leo. Sare sio powa kwetu lakin ni bora sare na Kipara kuliko sare na Everton nk... Ushindi wao leo ingekua kama busta kwao angalau vijana wetu Quansah na Bradley wamehitimu sasa ni boys to men kutoka salama vs Kipara sio kazi rahisi..
Sijakumbaliana na sub za Klopp kumtoa Nunez ambae ndio hatare zote kwetu amesababisha, pia Bradley anajua kuingia vyema kwenye channels hakufaa kutolewa leo...
YNWA
YNWA
Endo ni Dm haswa.. kanikabia leo Foden🔥 kanishikia viungo city sijaona fujo zaoWhat a game very class game. Hadhi ya fainali ya Champions league [emoji91][emoji91]
Bradley
Quansah
Kelleher
Wamekwiva performance zao toka mwaka upinduke ni nzuri. Imagine umkose Matip & Konate kisha unapewa Quansah vs Alvarez,Silva,Foden, KDB unamkosa trent (ambaye defensively sijawahi kumkubali) unapewa Bradley. Kuna muda Alvarez na Silva walibadilishana namba kwa ajili ya Bradley.
Elliot sijui kwa nini wengi hawaoni ubora wake ila ni mchezaji mzuri sana akicheza RCM. Unahitaji watu wenye ku hold mipira kama yeye (japo hajakomaa ila ame improve pakubwa sana). He is good whenever i see him as RCM moyo unatulia.
Sub ilijaa giza giza Gakpo for Nunez (otherwise precaution tu, kuna muda Nunez aligonga post kwenye paja la kule akitaka kucheza cross ya Bradley). Ila vinginevyo pale Klopp ametuibia.
Watu Endo what a deal we had done it…!!! Him with Macca meant business. Bahati mbaya kwa Klopp ilimchukua injury ya Macca kuona ubora wa Endo. Nje ya mbinu una hitaji ubora wa mchezaji (Hendo & Milner hawakuwa nao),..
Kabla ya mechi nilisema Ukiweza kudeal na Rodri plus Walker basi City unaweza kuwahimili. Endo kavaana na Rodri vilivyo, Diaz alihakikisha walker hapandi sana kuleta madhara na Speed zake. Pep humtumia Walker kuzima counter attacks na imekuwa hivyo, Klopp aliichanga karata vizuri kwa Walker na Rodri.
Bradley & Gomez defensively iliwanyima City umwamba kupitia kwa Foden na Alvarez/Silva. Kudos to Quansah Vvd & Kelleher ([emoji91][emoji91] 1st half put us in the game with his excellent saves).
Hallaand sijawahi kumhofia ikiwa una good CB’s threat yake ni ndogo mno ni Mr. Tap ins tu. 3-2-2-3 offensively ilitumika changanoto hatukwa na quality upfront lets say una Jota Salah and Nunez mechi ilikuwa inaisha mapema sana ile.
Kudos to Klopp, Kudos to the boys,
Diaz should step up, kwenye decisions zake. Anapaswa kujua wapi niachie mpira, wapi ni hold, nitoe pasi nitafute nafasi, mechi kama hii na nafasi zile ndipo Salah anaibuka na mituzo. Kati ya 3 hakosi 1.
YNWA.
ana vitu fulani hivi amazing sana vya technical
hakika foden leo kafichwa haswa. Kuna muda city walifika stage ya kuvizia counter attack.Endo ni Dm haswa.. kanikabia leo Foden🔥 kanishikia viungo city sijaona fujo zao
Kamtoa De bruyne kamasi leoana vitu fulani hivi amazing sana vya technical
hadi debruyne ilifika stage kama amepanik hata bada ya subKamtoa De bruyne kamasi leo
Hata alipokua jukwaani aliendelea kumlalamikia kocha kwa nini amemtoa?hadi debruyne ilifika stage kama amepanik hata bada ya sub
Poleni ila pia hongereni. Sare inampunguzia kasi kidogo kipara na pia inawapa nyie imani kuwa mnaweza.Kwa kikosi hiki cha leo kutoka sare mpaka Pep anamtoa KDB ili azuie ujue amekamatika vilivyo...hua mara chache sana Pep kukamatika kama leo.
Kudos kwa vijana wamecheza vyema sana leo. Sare sio powa kwetu lakin ni bora sare na Kipara kuliko sare na Everton nk... Ushindi wao leo ingekua kama busta kwao angalau vijana wetu Quansah na Bradley wamehitimu sasa ni boys to men kutoka salama vs Kipara sio kazi rahisi..
Sijakumbaliana na sub za Klopp kumtoa Nunez ambae ndio hatare zote kwetu amesababisha, pia Bradley anajua kuingia vyema kwenye channels hakufaa kutolewa leo...
YNWA
YNWA