Kwenye mpira kuna vitu Mtu akiwanavyo huwa ni Commedian sio muelewa wa Mpira.
- Kutanguliza ushabiki mbele kuliko uhalisia.
- Kutokujua historia ya Timu zinapokutana.
✓ Mimi nimepima Ubora wa City na Ubora wa Liverpool na nikaangalia Mentality ya Pep na Mentality ya Klopp bali nikajua kuwa game ya leo atakayemuoutclass mwenzake ndiyomana nikasema kuwa Naitabiria sare.
✓ Na vilevile linapokuja suala la Liverpool kutaka Ubingwa basi hata siku moja usimuamini Manure na Everton (Hii washabiki wa walioanza kuipenda Liverpool ya Klopp hawawezi kujua).
Hizo Timu mbili zinapoona Liverpool anataka Ubingwa basi zipo tayari kufanya kila kitu ili kumuharibia.
Sasa subiri tukikutana nao utaona Washabiki wa Liverpool ya Klopp wanatangaza tutawafunga 5.
✓ Lakini mimi nasema wazi our most tricky game kwa msimu huu ni game yetu na Manure pale OT. Siku hiyo hata Rashford atakuwa Messi.
Advantage pekee tuliyonayo ni kwa Ten Hag bado haijajuwa kucheza na Big Six zinamsumbua lakini akiamka vizuri tunaweza tukapata shida.