Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Braza ndo maana game ya Jana Diaz anakosaje magoli game ya man united na Liverpool OT itakuwa ngumu siku hyo united watapambana sana hata game ya Everton itakuwa sio rahisi game ya Jana tungeshinda hata lolote litakalotokea OT sio mbaya ndo maana mm game ya arsenal na city naomba draw ikishindikana arsenal ashinde tu coz na yy Bado anakibarua Kwa Tottenham na Huwa hawapendan sana unaweza shangaa Tot akamkazia arsenal ila akatupa fair sisi ili tu arsenal asichukue ubingwa

Karata yetu kwa sasa dhidi ya Arsenal 👇

1) Man City - Away
2) Man United - Away
3) Spurs - Away

Kuhusu Kipara hata sijui nitegemee kwa wapi ukiacha matumaini ya kutoa sare na Arsenal, hivyo tushinde mechi zetu tu.
 
Dah wewe unafaa ujiunge na Jeshi halafu uwe msemaji wa Jeshi kwenye Vita yani unawaza kumpiga Pep pale Etihad jambo ambalo toka aje Pep pale mimi sijawahi kulifikiria ingawa tulishinda.

Kwakweli hongera sana kuamini kumpiga Pep Etihad unahitaji moyo wa Chuma ingawa sina uhakika kama ulichokiandika hapa ndiyo unachokiwaza moyoni.

Lakini nikwambie tu kuwa Arteta ataenda Etihad na Defensive Minded, akijifanya kufunguka eti game anaitaka basi Haaland na Foden wataimaliza ndani ya Dakika 45 za kwanza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu hawa ni wazee wa false hopes, ukitaka kuenjoy burudani ya mpira basi lazima wawepo watu kama hawa mashabiki wa Arsenyani.
Watu kama hawa hata kipindi cha Jesus walikuwepo, hawa ndio waliofamta Yesu na kumuamuru ageuze vipande vya mawe kua mikate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni watu ambao wao hawaamini neno bali wanaamini miujiza tu.
 
Kwa mawazo yangu: Kipara anapaswa kupigwa pini/ Pep must be stopped.

Mawazo yangu yanaweza kutofautiana na Arteta ila ningekuwa Arteta ningewaza hivi:

Iko kisaikolojia...

Kutokana na sare ya Liverpool na Man City, Arsenal inaongoza ligi. Mpinzani anayefuata ni City. Arsenal inatakiwa ihakikishe inapata ushindi (mzuri tu) kwa Man City, nyumbani kwa City. Ile boost Arsenal atakayo pata kwa ushindi wa hivyo itakuwa kubwa sana. Mechi 9 zilizobaki wataenda kufanya mauaji na kubeba kombe.
 
View attachment 2930945
Sijajua kwa nini msimu huu tumekua na hii tabia ya kuamsha amsha kipindi cha pili kuanzia dakika ya 65 ndio tunakua mchezoni full throttle yaani sielewi kama ni tactical kwamba mpinzani anakua amechoka ama niaje niaje.. Nwa cha msingi ni muda ule hatupo mchezoni basi tusifungwo aiseee ama kutanguliwa nyingi

YNWA

Hii ndio ilifanya niamini kwa nini Salah hajaanzishwa pamoja na sababu nyingine.

Nahisi huwa ni tactical, plus luck pia, japo itategemea na mpinzani amekuja vipi. Na mara zote wapinzani kipindi cha kwanza huwa hawawezi kumaliza mechi.
 
Kwenye mpira kuna vitu Mtu akiwanavyo huwa ni Commedian sio muelewa wa Mpira.
  • Kutanguliza ushabiki mbele kuliko uhalisia.
  • Kutokujua historia ya Timu zinapokutana.

✓ Mimi nimepima Ubora wa City na Ubora wa Liverpool na nikaangalia Mentality ya Pep na Mentality ya Klopp bali nikajua kuwa game ya leo atakayemuoutclass mwenzake ndiyomana nikasema kuwa Naitabiria sare.

✓ Na vilevile linapokuja suala la Liverpool kutaka Ubingwa basi hata siku moja usimuamini Manure na Everton (Hii washabiki wa walioanza kuipenda Liverpool ya Klopp hawawezi kujua).
Hizo Timu mbili zinapoona Liverpool anataka Ubingwa basi zipo tayari kufanya kila kitu ili kumuharibia.
Sasa subiri tukikutana nao utaona Washabiki wa Liverpool ya Klopp wanatangaza tutawafunga 5.

✓ Lakini mimi nasema wazi our most tricky game kwa msimu huu ni game yetu na Manure pale OT. Siku hiyo hata Rashford atakuwa Messi. Advantage pekee tuliyonayo ni kwa Ten Hag bado haijajuwa kucheza na Big Six zinamsumbua lakini akiamka vizuri tunaweza tukapata shida.

Mie pia naiona hii mechi kuwa ngumu sio kwa ubora wa Man u bali upinzani wa jadi uliopo.

Everton as usual, bad lack tunamalizia away na hawa jamaa wawili. Ila ukomavu utaamua mechi hizi. Uzuri tutakuwa na full Squad kufikia huko.

We need Jota and Jones as early as possible.
 
Braza ndo maana game ya Jana Diaz anakosaje magoli game ya man united na Liverpool OT itakuwa ngumu siku hyo united watapambana sana hata game ya Everton itakuwa sio rahisi game ya Jana tungeshinda hata lolote litakalotokea OT sio mbaya ndo maana mm game ya arsenal na city naomba draw ikishindikana arsenal ashinde tu coz na yy Bado anakibarua Kwa Tottenham na Huwa hawapendan sana unaweza shangaa Tot akamkazia arsenal ila akatupa fair sisi ili tu arsenal asichukue ubingwa

Sijui kwa nini watu wanaona Arsenal ni mwepesi na hawezi kutwaa ubingwa. Historia ipo hapo ili kuvunjwa pia.

City msimu huu mechi nyingi hawashindi convincingly unlike last season. Bado Arsenal anaweza kubeba ubingwa vizuri sana, unavyoona Arsenal ana mechi ngumu, same na City na LFC tuna mechi ngumu vile vile. Mnaweza kuamka vibaya kama game ya Arsenal mkafungwa au draw.

Last season waligombea ubingwa kwa kuongoza muda mrefu injury ya Saliba na Draw ya Anfield ikawatoa mchezoni.

Arteta kuna alichojifunza, labda apate injuries za key players kama Klopp tuone kama yupo tayari kwa ubingwa au lah.!!! Kuna muda unapaswa kupitia situation ngumu ili kukomaa.

YNWA.
 
Kwenye mpira kuna vitu Mtu akiwanavyo huwa ni Commedian sio muelewa wa Mpira.
  • Kutanguliza ushabiki mbele kuliko uhalisia.
  • Kutokujua historia ya Timu zinapokutana.

✓ Mimi nimepima Ubora wa City na Ubora wa Liverpool na nikaangalia Mentality ya Pep na Mentality ya Klopp bali nikajua kuwa game ya leo atakayemuoutclass mwenzake ndiyomana nikasema kuwa Naitabiria sare.

✓ Na vilevile linapokuja suala la Liverpool kutaka Ubingwa basi hata siku moja usimuamini Manure na Everton (Hii washabiki wa walioanza kuipenda Liverpool ya Klopp hawawezi kujua).
Hizo Timu mbili zinapoona Liverpool anataka Ubingwa basi zipo tayari kufanya kila kitu ili kumuharibia.
Sasa subiri tukikutana nao utaona Washabiki wa Liverpool ya Klopp wanatangaza tutawafunga 5.

✓ Lakini mimi nasema wazi our most tricky game kwa msimu huu ni game yetu na Manure pale OT. Siku hiyo hata Rashford atakuwa Messi. Advantage pekee tuliyonayo ni kwa Ten Hag bado haijajuwa kucheza na Big Six zinamsumbua lakini akiamka vizuri tunaweza tukapata shida.
Everton ya siku hizi haiwawezi kwa lolote wala kwa chochote. Labda Man United.
 
Dah wewe unafaa ujiunge na Jeshi halafu uwe msemaji wa Jeshi kwenye Vita yani unawaza kumpiga Pep pale Etihad jambo ambalo toka aje Pep pale mimi sijawahi kulifikiria ingawa tulishinda.

Kwakweli hongera sana kuamini kumpiga Pep Etihad unahitaji moyo wa Chuma ingawa sina uhakika kama ulichokiandika hapa ndiyo unachokiwaza moyoni.

Lakini nikwambie tu kuwa Arteta ataenda Etihad na Defensive Minded, akijifanya kufunguka eti game anaitaka basi Haaland na Foden wataimaliza ndani ya Dakika 45 za kwanza.

Clean. Nakumbuka Klopp aligongwa fainali wee mpaka siku alipojua fainali sio ligi one match then BOOM akabadili approach yake na imekubali.

Nafikiri test aliyoipata Anfield ndio imemuwasha kipara sana, game na Arsenal kitawaka sana.

Kama mie Arteta naenda kama Underdog, namuheshimu City, nazuia kwanza kisha tucharuane kwa counter. Ila its not Arteta & Arsenal type of play. Miaka ya kuteswa na Bayern na Barca uchezaji ni ule ule. Pep kamsumbua Arteta kwa sababu uchezaji ni ule ule. Kwa hiyo nategemea Arsenal bado watafunguka. Wanaweza kufunguka na kupata point(s), ikiwa tu watakuwa na FULL AWARENESS, FOCUS & CONCENTRATION throughout the game. Wanahitaji full performance na zaidi ya hapo kuwakabili hao jamaa.

Ni mechi ambayo City watacheza do/die hata kwa msaada wa Referee.
 
Kwenye mpira kuna vitu Mtu akiwanavyo huwa ni Commedian sio muelewa wa Mpira.
  • Kutanguliza ushabiki mbele kuliko uhalisia.
  • Kutokujua historia ya Timu zinapokutana.

✓ Mimi nimepima Ubora wa City na Ubora wa Liverpool na nikaangalia Mentality ya Pep na Mentality ya Klopp bali nikajua kuwa game ya leo atakayemuoutclass mwenzake ndiyomana nikasema kuwa Naitabiria sare.

✓ Na vilevile linapokuja suala la Liverpool kutaka Ubingwa basi hata siku moja usimuamini Manure na Everton (Hii washabiki wa walioanza kuipenda Liverpool ya Klopp hawawezi kujua).
Hizo Timu mbili zinapoona Liverpool anataka Ubingwa basi zipo tayari kufanya kila kitu ili kumuharibia.
Sasa subiri tukikutana nao utaona Washabiki wa Liverpool ya Klopp wanatangaza tutawafunga 5.

✓ Lakini mimi nasema wazi our most tricky game kwa msimu huu ni game yetu na Manure pale OT. Siku hiyo hata Rashford atakuwa Messi. Advantage pekee tuliyonayo ni kwa Ten Hag bado haijajuwa kucheza na Big Six zinamsumbua lakini akiamka vizuri tunaweza tukapata shida.
dawa ni kushinda mechi zote zilizobaki iwe dhidi ya Man UTD au yeyote yule pasipokujali matokeo ya wapinzani
 
New MF Impact. Sikumbuki ni lini tuliwahi kumuwin hivi kipara.

Kina Henderso, Milner walikuwa wanatuibia sana. Ukiwa na MF wazuri pep unammiliki vizuri tu. Remember Tuchel akiwa na Kante, Kovasic, Kipara alibutuliwa mechi tatu CL final, FA na EPL…!!! Mbinu nzuri, Mwl mzuri na wachezaji wazuri.

Klopp alikosa wachezaji wazuri hasa kwenye kiungo. Ndio maana Madrid na huyo Kipara wali enjoy tukikutana. Milner (34-37) hawezi kukupa quality, Hendo tunamjua vizuri mbovu wa mbinu, sio msomaji wa mchezo unavyozidi kuendelea. ]Huku una mapancha Keita, Ox & Thiago hapo Klopp anawategemea warudi wampe matokeo. Kitambo anawasubiri ni draw tu zinatembea.

Klopp angemsingiliza Edward kuhusu kina Endo asingeishiwa nguvu hivyo alivyotuambia.

Endo & Macca at the middle park
emoji91.png
emoji91.png

Diaz aliparuana na Walker vizuri hakuna kupanda, jambo katunyima raha zaidi, ule mpasi wa Salah ulipaswa kuwa goli.

Gomez kamrithi Milner hana wasi wasi kabisaaaa.

Trent akirudi aamue

1. Kujifunza kukaba
2. Atokee banch
3. Aombe kukupiga RCM

YWNA
]
 
Kwa mawazo yangu: Kipara anapaswa kupigwa pini/ Pep must be stopped.

Mawazo yangu yanaweza kutofautiana na Arteta ila ningekuwa Arteta ningewaza hivi:

Iko kisaikolojia...

Kutokana na sare ya Liverpool na Man City, Arsenal inaongoza ligi. Mpinzani anayefuata ni City. Arsenal inatakiwa ihakikishe inapata ushindi (mzuri tu) kwa Man City, nyumbani kwa City. Ile boost Arsenal atakayo pata kwa ushindi wa hivyo itakuwa kubwa sana. Mechi 9 zilizobaki wataenda kufanya mauaji na kubeba kombe.

Kwa akili ya kawaida unaamini utampiga Kipara pale Etihad?

Hivi ukitoa Klopp aliyempiga City nje ndani kwenye UCL kuna Kocha mwengine aliyewahi kumpiga Kipara nje ndani?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu hawa ni wazee wa false hopes, ukitaka kuenjoy burudani ya mpira basi lazima wawepo watu kama hawa mashabiki wa Arsenyani.
Watu kama hawa hata kipindi cha Jesus walikuwepo, hawa ndio waliofamta Yesu na kumuamuru ageuze vipande vya mawe kua mikate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni watu ambao wao hawaamini neno bali wanaamini miujiza tu.

Mpaka sasahivi sioni wa kumfunga Kipara pale Etihad labda Real Madrid.
 
Back
Top Bottom