Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Navyojua coner kick haina offside. Ingekywa freekick hapo kungekuwa na hoja. Ni Goal halali lile
kwani ake hapa aligusa mpira?
Kona hainaga offside.
Leiva licha ya kuichezea Liverpool atakuwa ni shabiki pia
Offside kwenye kona sio? 😂😂😂
kuna sehemu mnapishana haujamuelewa si kwamba man city hafanyi hivyo la hasha mmiliki wa man city kuna nanmna ana inject pesa nyingi kwa njia ya janjajanja ndio anamaanisha.Najaribu kumuonesha Huyo mzee anayesema city inanunua mafanikio ....
Kama Liverpool hainunui mafanikio kwanin inanunua wachezaji,kwanin wanalipa mishahara wachezaji ....
Siku ambayo itakuwa inachukua wachezaji bure na kuwachezesha Bila kuwalipa ndio nitakubali kuwa hainunui mafanikio ...
Team inaingia sokoni kununua mchezaji na 100million bado wanasema hawatumii pesa what f***K going on ....
tupigieni kwa niaba yetu kwa kweli sisi tumeshindwa kumfunga kengele jitahidi mumfunge kengele.Nyie mmeniangusha sana mjue? Mmemwachaje City atoke na sare pale Anfield?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bora tu msiingize timu uwanjani maana fedheha mtakayo kutana nayo itaenda kuchafua hali ya hewa kwenye jukwaa lenu la matusi.Mnaanza kutupangia na namna ya kucheza nao...tukifunguka mnasema tutafungwa..tukikaa nyuma tutafungwa..Sasa tuchezaje ndugu zetu[emoji1783][emoji1783]..basi hatutaingiza timu uwanjani Ili hayo yte tusiyafanye
Naona unatumia nguvu nyingi kutusakama kwlikwli na miksa kutishia mara Porto mara Pep...Sasa muda unayoyoma...tunaanzia leo na Pepe kupeleka taarifa kwa viumbe vyte vilivyobaki vya ligi kuu kwmba mkikutana na sisi mjipange🤠🤠[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bora tu msiingize timu uwanjani maana fedheha mtakayo kutana nayo itaenda kuchafua hali ya hewa kwenye jukwaa lenu la matusi.
Ila Pep anamjulia sana Arteta linapokuja suala la minded game, nina uhakika siku 2 kabla ya mechi Pep atafanya press conference ya kumsifia Arteta kua ndie kocha bora kuliko wote Epl, bila kusahau atawasifia wachezaji wa Arsenyo na timu yote kwa ujumla, kumbe anawajaza ujinga wakifika Ettihad wafunguke vizuri halafu awagonge goli 4+
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio kuwatisha broo, ninachofanya ni kuelezea hali halisi ya Arsenal linapokuja suala la kucheza mechi za pressure.Naona unatumia nguvu nyingi kutusakama kwlikwli na miksa kutishia mara Porto mara Pep...Sasa muda unayoyoma...tunaanzia leo na Pepe kupeleka taarifa kwa viumbe vyte vilivyobaki vya ligi kuu kwmba mkikutana na sisi mjipange[emoji1783][emoji1783]