Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huo ndiyo mpango mzee. Tunatakiwa tuwe kama tunamchangia. Uchukue wewe au mimi ila siyo kipara [emoji2]
Unamchangia na nani?
Mwenzio kibarua chake na City kimeshaisha na tayari wameshagawana points.
Kimbembe kiko kwako mechi inayofata utakua kwenye dimba la Ettihad, hapo kila mmoja ashinde tu mechi zake lakini sio kupeana false hopes eti tunamchangia kwani City amesema anahitaji michango yenu?
Mashabiki wa Asaninyau bana akili zao kama watoto wadogo "eti tuwe kama tunamchangia"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Uzuri ni kwamba Man City ndiye next victim wetu na siku hazigandi. Tutakutana naye muda si mrefu.
Acha tuanze kwanza na Porto. Tunatakiwa kupambana sana leo ili tushinde kwa magoli mawili zaidi ya Porto.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Leo Porto akiwatoa CL mtakua very despirate siku ya kukutana na City mtakua mko na low confidence hapo Kipara ndio atawakanda vizuri zaidi goli zisizo pungua 6, halafu mechi zitakazofata itakua ni mwendo wa draw na lose mpaka ligi inaisha.
Salama yenu leo mkomae mumtoe Porto kitu ambacho pia sio rahisi.
 
Je sisi tukimtoa porto itakuwaje?
 
Chelsea offered Michael Edwards the chance to be 'football chief executive' & Manchester United offered him the chance to run the football side of the club in its entirety.

Edwards politely rejected both offers.

[@_pauljoyce]
 
Interesting that Richard Hughes has a good relationship with Xabi Alonso's agent, Inaki Ibanez, having appointed his other client, Andoni Iraola at Bournemouth.
 
Official: Michael Edwards has been appointed as new CEO of Football for FSG, starting with Liverpool on June 1.

❗️ Edwards: “One of the biggest factors in my decision is the commitment to acquire and oversee an additional club”.
 
Michael Edwards confirmed as FSG CEO of Football. Will succeed Mike Gordon as the decision-maker on all football matters. Remit includes helping to identify and subsequently manage a second club to attract global talent. Will resign from Ludonautics on June 1.

Michael Edwards: "One of the biggest factors in my decision is the commitment to acquire and oversee an additional club, growing this area of FSG's organisation. I believe that to remain competitive, investment and expansion of the current football portfolio is necessary."

Michael Edwards named FSG CEO of football. Resigns from Ludonautics June 1 + replaces Mike Gordon in charge of Liverpool. Will appoint SD (Hughes) to recruit Klopp successor & help identify/manage a 2nd club. Turned down #CFC + #MUFC @TheAthleticFC #LFC

Michael Edwards:
"With Liverpool I will oversee the required reinforcement of football operations, with a number of essential leadership positions needing 𝙐𝙍𝙂𝙀𝙉𝙏 attention."

Richard Hughes joining Liverpool is considered a formality, Liverpool will hope Hughes will provide stability to the role.
[@_pauljoyce]
 
Michael Edwards:"In assuming this role, I fully understand that it comes with great expectations, and I therefore intend to identify, hire, and subsequently empower leaders who meet and embody the club's values and ambitions."
 
new soon to be sporting director Richard Hughes pulled off a huge coup last summer when he signed Milos Kerkez.

Kerkez was wanted by some big clubs including #LFC, Benfica and Lazio.

Yet Hughes managed to convince him to join Bournemouth.

Now Kerkez is on the radar of Chelsea and Manchester United after a brilliant debut season in the Premier League so far.

That deal is yet more proof of Hughes’ ability as a sporting director.

He also signed the likes of Nathan Ake, Aaron Ramsdale, Dominic Solanke, Callum Wilson, Tyrone Mings and Ilya Zabarnyi
 
Michael Edwards: “I am very grateful to Mike, John, Tom and the ownership group for offering me the opportunity to take on this new leadership role within FSG.
“I was humbled by the desire and persistence they showed in wanting to work with me again. This is definitely not something that I take for granted given their track record across sport and business.”
 
Back
Top Bottom