arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,166
- 4,005
Usituambie tujitahidi...saa Tano kama kwny kideo uone watu wanavyoulizwa maswali magumu🤠🤠...watoto wadogo sana wale[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio kuwatisha broo, ninachofanya ni kuelezea hali halisi ya Arsenal linapokuja suala la kucheza mechi za pressure.
Kikubwa jitahidini leo mumfunge Porto ita boost confidence mkikutana na City, ila leo mkitolewa Uefa mtakua very desperate, mechi inayofata na City Guardiola atakua kama anamsukuma mlevi tu[emoji23][emoji23][emoji23]