Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG-20240314-WA0000.jpg
 
Huyu Doku ni Nunez wa Kiafrica.
Sasa pale anqgongaje mwamba?

Ila mechi hii bwana
Sasa Diaz anakosaje akili kidogo tu za kumaliza?
Tungekuwa na magoli mengi tu dah!


Mmeona faida ya kuangalia mechi marudio?
Tunaangalia kwa kadiri tunavyotaka.
 
Jurgen Klopp on Michael Edwards:

"Michael and I we always had a really good relationship, very good on a professional basis, a lot of good things happened in the time we were here together. Now he's back I'm really happy, it's a top solution, our conversation was great."
Hakuna asiejua kama aliondoka kwa sababu yako.
Hakuna asiejua kama umefanyia kazi fikla zake ndo zimekupa ubora huu wa sasa
 
Game ya jana naona imetumika ku pad statististics za forwards. Utasikia mchezaji flani ana goal contributions 20+, ataitwa "world class" na kuongezewa hype kumbe alikuwa anacheza na Sparta Prague. Mashabiki wapenda numbers utawaona wakimsifia sana mchezaji wa hivi na kujisemea kwamba wamelamba dume kwa mchezaji huyo.

Faida ya hii ni mchezaji akienda vizuri na vibe, anapata confidence ambayo anaipeleka kwenye Premier league na kujikuta ameongeza magoli na assists zaidi ya matarajio. Mambo yakienda vizuri zaidi mnajikuta mmeshinda kombe.
 
Back
Top Bottom