Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Nyumbu wamechomoaje jama 😲
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Auzwe tu huyo hamna kitu mleOvaa.
Huyu Diaz tusijiulize mara mbili auzwe.
Hayupo clinical kabisaa.
Ndio ndio zitue kakaNilivyoona zile goli 3 chap chap nikaona ni ujumbe tosha kwenda pale Trafford...
Vijana wanasema FA, EPL, Europa zitue Anfied.
YNWA
Mama rudia ana watoto wawili, wa pili anaitwa tena wa kwanza anaitwa nani?Punguza hashua.
Kwamba vijana walikuwa wamesemaje tena...?Nilivyoona zile goli 3 chap chap nikaona ni ujumbe tosha kwenda pale Trafford...
Vijana wanasema FA, EPL, Europa zitue Anfied.
YNWA
Yanini kujipa jakamoyo kwenda kupambana na kiparaMmemkimbia MANCITy[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nishawahi kusema hapa , Diazi akili yake haipo haraka kama miguu yake.Auzwe tu huyo hamna kitu mle