Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diazi ile ni copy kabisa ya Raheem Sterling, tofauti yao ni mmoja kasuka dread huku huyu mwingine amenyoa punk.
Ila wanangu wenyewe kuku vishingo msijali sana mechi inayofata ya Epl hapahapa Old Trafford tutawapea points3 muongoze ligi, huku mamaCita na Arsenyeto wakipasuana wao kwa wao.
bado nyie lakini mnajiua tu kuwa amna uwezo wa kutufunga pale hata tuwe unga kiasi gani nyie ni mboga yetu pendwa.Aibu kubwa sana mnafungwa na manjesta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msimu huu muhesabu maumivu...hantaambulia hata point moja kwetu🤠🤠...jana Liver walivyomtoa Salah na Soszbolai ndo walipojichanganya...bado nyie lakini mnajiua tu kuwa amna uwezo wa kutufunga pale hata tuwe unga kiasi gani nyie ni mboga yetu pendwa.
Tena wew na li timu lako hilo bora unyamaze tutakufanya kitu kibaya sana hutaamini macho yako ni Bora ata Livepoor OT uwa anatusumbua ila wew hutaminiMnafungwa na timu inacheza hiviView attachment 2937942
Mlihijack dili zao kwenda United wamegeuka flops kwenu.Hawa wachezaji average kama Gakpo na Diaz hawawezi kutupa makombe
Sio kuku tu hata nyie nyani mna sisi mjiandae Kila mtu atamwona daktariImMrLiverpool...tunakumbushana tu..mna mechi nao tena Hawa Manunu pale OT kwny ligi kuu...leo mmechinjwa na kombe la EPL hamtakaa mlione kamwe🤠🤠
Huo uwezo hamna...jana bahati tu ndo iliwabeba...ila mna kikundi cha jogging sio timu ya mpiraSio kuku tu hata nyie nyani mna sisi mjiandae Kila mtu atamwona daktari
iyo quater final utafanya kitu Gani na Beki zako kina Ben white mchezaji ata Timu ya Taifa tu kupata namba haweziMmoja yuko quarter finals za UCL akimsubiria Bayern Munich. Mwingine yuko quarter finals za FA cup na Manyumbu halafu hata hawezi kuwashinda.
Arsenal anifunge mim OT na beki mwenyewe Ben whiteHuo uwezo hamna...jana bahati tu ndo iliwabeba...ila mna kikundi cha jogging sio timu ya mpira
Arsenal anifunge mim OT na beki mwenyewe Ben white
Kocha wenu wa timu ya taifa si kalalamika dogo kamtolea nje🤠🤠...uniite nikacheze beki na kina Magwaya kwli??...wakati kashazoea kina Saliba anajua akipanda huku nyuma anakuacha salama ..Magwaya umuachie mji ukute uko salama kwli??iyo quater final utafanya kitu Gani na Beki zako kina Ben white mchezaji ata Timu ya Taifa tu kupata namba hawezi