Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu nipo mwanza kikazi,huku watu wanafaidi sana soka la ulaya kupitia cable za BeInSports,jamaa wanalipa elf13 tu kwa mwezi na wanachek michuano yote kuanzia League.1,bundesliga,laliga,epl,ucl,fa,etc

Aiseee!!! Ndiyo ikoje hiyo embu fuatilia ulete mrejesho mzuri halafu vilevile unaweza ukaitumia fursa ukatoka kimaisha,Dstv wanatuumiza sana aisee......
 
Emre can
 
Attachments

  • 1415702282922.jpg
    1415702282922.jpg
    114.2 KB · Views: 79
  • 1415702317011.jpg
    1415702317011.jpg
    53.8 KB · Views: 74
  • 1415702341978.jpg
    1415702341978.jpg
    101.4 KB · Views: 74
Aiseee!!! Ndiyo ikoje hiyo embu fuatilia ulete mrejesho mzuri halafu vilevile unaweza ukaitumia fursa ukatoka kimaisha,Dstv wanatuumiza sana aisee......

Hii ya mwanza kweli,Dstv wanatupiga kama siyo kutuimbia,uzuri wa cable unaweza kuwaupdate siku za machi tu,kama vocha
 
Wakuu nipo mwanza kikazi,huku watu wanafaidi sana soka la ulaya kupitia cable za BeInSports,jamaa wanalipa elf13 tu kwa mwezi na wanachek michuano yote kuanzia League.1,bundesliga,laliga,epl,ucl,fa,etc

Kweli mkuu,nasikia hapa Dar ni maeneo ya upanga ndo wanafaidi hii system ya cable
 
Legends
 
Attachments

  • 1415705638269.jpg
    1415705638269.jpg
    27.1 KB · Views: 66
  • 1415705649146.jpg
    1415705649146.jpg
    41.5 KB · Views: 65
  • 1415705661939.jpg
    1415705661939.jpg
    27.8 KB · Views: 63
  • 1415705671796.jpg
    1415705671796.jpg
    36.4 KB · Views: 63
  • 1415705684171.jpg
    1415705684171.jpg
    10.2 KB · Views: 63
  • 1415705695246.jpg
    1415705695246.jpg
    101.8 KB · Views: 62
  • 1415705710588.jpg
    1415705710588.jpg
    12.8 KB · Views: 136
  • 1415705722982.jpg
    1415705722982.jpg
    41.2 KB · Views: 63
Wallpapers!!
 
Attachments

  • 1415706417900.jpg
    1415706417900.jpg
    75.9 KB · Views: 69
  • 1415706447711.jpg
    1415706447711.jpg
    97.8 KB · Views: 73
  • 1415706472242.jpg
    1415706472242.jpg
    80.7 KB · Views: 72
BELLAMY on MANURE UTD
 
Attachments

  • 1415706625793.jpg
    1415706625793.jpg
    41.6 KB · Views: 81
Hii ya mwanza kweli,Dstv wanatupiga kama siyo kutuimbia,uzuri wa cable unaweza kuwaupdate siku za machi tu,kama vocha

Yaani acha tu hawa Dstv?halafu siku hizi vimeo kweli mvua ikianza na network inakata,wadau changamkieni fursa hii jamani hii hela tunayolipa kwa mwaka ni kubwa mno.....
 
Niliwaalika kwasababu wewe ndio Ulikua wa kwanza kututukana na Mimi binafsi nikakushauri Hizo lugha chafu uache lkn hukukubali na ukaendelea kupost lugha Hizo Hizo....! Unategemea sisi tufanyeje?

cool...kama kuambiwa tunakuja kutoa mtu bikra umetukanwa basi poa..nanilikua naongelea timu....any way yashapita
 
Back
Top Bottom