Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Thx Mkuu...!

Pamoja sn...!

KUNA TOFAUT KAT YA MATUSI NA MANENO YA KARAHA...kuja kwenye sred yenu haimaanishi nilikuja kutukana ila maneno ya karaha ya kumkela mpinzan wangu...but in return wenzangu wakaja na matusi na malalamiko wametukanwa...KWA WANAOJUA NILICHO MAANISHA AMAN KWAO NA WALIOTUKANA BILA KUJUA AMANI KWAO
 
Jana wakati akina Viol wanatumia lugha za ajabu hapa nilikuwa nasoma kila kitu na kutingisha tu kichwa hapa!

Ukweli tusifikie kukashifiana sababu tu ya ushabiki!Soka ikijadiliwa kwa hekima kila mtu ataongeza maarifa kichwani mwake!

Jana hata Chelsea sasa wanajua kuwa team yao sio special na ni beatable maana kama refa angekuwa makini red card Cahil na penalty ile ingebadili matokeo!

Majogoo tuna hoja nzito zaidi ya Chelsea kuhusu mechi ya jana!

walitukana sana kule kwao na mi nimajeruhi wa matusi yao,leo wamepata wakali wao wanakuja kulia lia humu et wametukanwa...MKUU NGOJA WAFUNDISHWE JINSI YA KUONGEA NDO HESHIMA IJE
 
teh teh teh teh aaahaa...naona mtaalamu wako wa lugha kapata big teacher wake...siku ile uliwaalika kwangu

Niliwaalika kwasababu wewe ndio Ulikua wa kwanza kututukana na Mimi binafsi nikakushauri Hizo lugha chafu uache lkn hukukubali na ukaendelea kupost lugha Hizo Hizo....! Unategemea sisi tufanyeje?
 
Wakuu naomba munifahamishe hivi Remmy alifeli vipimo gani liver kwa chelsea amepasi,

vipimo vyote alivyofeli Remmy ,Baloteli alivifaulu, huoni anavyotikisa vyavu pale mbele.

*Mind the Gap*
 
Sijaona thread ina watu wanatukana kama hii..

*Mind the Gap*
 
Ndiyo walivyo kufundisha walimu wako jinsi ya kuwasilisha mada zako ndiyo hivi?Maandishi ya hovyo hovyo kabisa!!

Wapi mm.nimewahi tukana?Paste hapa kuonyesha matusi yangu popote pale hapa JF

Malafyale bhana..yaan umekuja kuwatetea hao Rent boys kwa nia nzuri tu..afu kuna huyo ---- wao mwingine hapo kaja kukuita POYOYO!!!!..
 
Liverpool 1 - 2 Chelsea:::: Tisha-TOTO's post match analysis
=========================================================

1) Chelsea - a form team:

Yesterday LFC played a small club which is currently in form. A typical feature of a small club is packing the bus when playing against strong opposition (am just echoing BR's outburst last season after LFC lost to a time-wasting and outrageously defensive Chelsea side as well as Pellegrini's similar lambasting against Chelsea earlier this season). One could see a sign of those Chelsea traits yesterday (despite their good form at present), particularly towards the match climax.

2) The goals:

LFC's 1st goal:
A marauding run from EC and....bang!.. he let fly. Excellent defending from Chelsea's backline (held their line up well....typical Mourinho) but the beauty of hitting the ball like what EC did is that the only thing defenders can do is put the bodies on the line.... and the ball can end up anywhere! LFC should be doing more of those strikes which they are not doing much at this moment. SG used to do it a lot in his old AM role. Coutinho has been trying but he needs to do it more often at Melwood first. Sturridge is another one doing it more often but he's not playing at the moment and we have no clue when he'll get back on the pitch....he might get injured again before kicking his first ball!

Chelsea's equalizer:
LFC's defensive frailties were on show here again: (a) after Mignolet clears the header, there are only SG & GJ in the 6-yard box to deal with the loose ball while Chelsea had 4 players there which included their defenders! Yaani inashangaza sana na kusikitisha mno.. (b) Mignolet is fully aware that he could be standing by the goal line yet he opts to hold the ball from Cahill instead of just punching it to safety....jamani!!!

Chelsea's winner:
One of the biggest strengths of Chelsea's attaching midfield players is their commitment to contribute to defensive duties. At LFC, with the exception of Sterling (whose bull-like strength is quite amazing considering his small frame), no one else appears to be taking this responsibility. Testimony to this is the way Coutinho was brushed aside in the build up to Chelsea's second and winning goal...kwa nini hata hakuvuta shati, bukta au hata kukwatua tu is beyond me!! BR needs to address this with his AMs.

3) My overall assessment:

If LFC can build on yesterday's performance which wasn't (relatively speaking) not all that bad, then I think they will soon return to their accustomed winning ways provided that BR always sends on the pitch the following first 11 (please challenge me):
Mignolet, GJ, J Enrique, Kolo (it's not by choice really but who else is there, Lovren? F...ck no!), MS, SG, JH, EC (the beast!), PC, RS, MB (stop-gap until the return of DS).

4) LFC player ratings (again, challenge me):

Mignolet (5.5), GJ (6.5), Moreno (5.5), Lovren (5.0), MS (7.0), SG (6.2), JH (6.0), EC (7.4), PC (7.5), RS (7.4), MB (5.5)

Thats what KOPITES do..great football analysis..

Well said Mkuu...
 
Malafyale bhana..yaan umekuja kuwatetea hao Rent boys kwa nia nzuri tu..afu kuna huyo ---- wao mwingine hapo kaja kukuita POYOYO!!!!..

Mkuu hawa tunapambana nao kwa hoja tu!Mechi ya jana wao ndiyo wameadhirika sio sisi!

Akina Ntuzu wao walijua Chelsea itakuwa kama tu inafanya gwaride kuchukua point kiurahisi Anfield wakiwa na imani potofu kama wao ni bora zaidi ya kila mtu EPL

Toka jana sasa watapunguza imani hiyo na kikubwa moyoni mwao wanajua kama sio refa jana wangechapwa!Kuzuia mpira kwa mkono ukiwa wewe mtu wa mwisho ni penalty na straight red card!!

Hawa ni wepesi mno kwenye hoja
 
Last edited by a moderator:

Achana na plastic twats hao watakupotezea MUDA tu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hawa tunapambana nao kwa hoja tu!Mechi ya jana wao ndiyo wameadhirika sio sisi!

Akina Ntuzu wao walijua Chelsea itakuwa kama tu inafanya gwaride kuchukua point kiurahisi Anfield wakiwa na imani potofu kama wao ni bora zaidi ya kila mtu EPL

Toka jana sasa watapunguza imani hiyo na kikubwa moyoni mwao wanajua kama sio refa jana wangechapwa!Kuzuia mpira kwa mkono ukiwa wewe mtu wa mwisho ni penalty na straight red card!!

Hawa ni wepesi mno kwenye hoja
shabiki POYOYO na uchambuzi wa kushindwa hahaha liverfool nyie hamuiwezi chelsea napata raha sana mourinho anavyowajulia ni kuwagonga tu
 
Nani kakuambia Kua Sisi tunaimani potofu? Au nani alikuambia Kua tukifika hapo kwenu ni kucheza gwaride tu na points 3 tunajibebea? Umesahau wewe Ulikua unakomalia kauli yako ya kutufunga hapo kwenu? Ulifikiri tukifika tu Basi utakua umetufunga? Hii ni Chelsea baba team with special spirit..! Km unataka kuona ukweli kwamba nyie mlikua lazima mfungwe pitia maelezo ya Ivanovic na Matic kabla ya mchezo uone walivyosisitiza kushinda huo mchezo hapo kwenu...,!
 
Last edited by a moderator:
shabiki POYOYO na uchambuzi wa kushindwa hahaha liverfool nyie hamuiwezi chelsea napata raha sana mourinho anavyowajulia ni kuwagonga tu

Cant argue with dead- brain rant who unable to use sentiment analysis to cement his position!

Ni kijana wa hovyo hovyo anayeandika hovyo hovyo aliyelelewa hovyo hovyo!
 
ndio maana siku hizi nimepunguza kuingia kwenye thread ambazo si za timu yangu kwasababu wenye hizo thread wanataka uandike au uchangie wanachopenda kusikia wao....ukiandika kinyume na wanachopenda kusikia wao[hasa hasa usifie timu yao hata kama ni mbovu] utaambulia matusi na maneno mengine ya kashfa tu bila sababu yoyote zaidi ya kuandika ukweli wasiopenda kusikia....thread mojawapo ni hii na ya chelsea naingia kwa nadra sana kwasababu hizo.

ila nilishawaambia zaidi ya mara kumi na leo nasema tena HAMNA CHENU MWAKA HUU HAMUWEZI KUUZA FERRARI NA KUNUNUA FIAT MBILI MTEGEMEE KUPATA PERFOMANCE YA FERRARI..........
 
wazee wambereko.....

poor looserfool, mbona ile bikra hukuitoa tena?! matokeo yake umetolewa ww!" ni vile ulishatolewa siku nyingi cjui sisi tuliitoa ipi?! mana zinakuaga mbili ..........

Grand PA
 
Cant argue with dead- brain rant who unable to use sentiment analysis to cement his position!

Ni kijana wa hovyo hovyo anayeandika hovyo hovyo aliyelelewa hovyo hovyo!

hata mm sitaki ku-argue na plastic fan so i simplify and you are one of the best POYOYO wa uchambuzi.
 
Thats what KOPITES do..great football analysis..

Well said Mkuu...

Thanks mkuu. Unajua tusipoteze muda wa ligi ya kujibizana na watu wa Chelsea. Chelsea who?

Surely no one with a sober mind would want to waste their precious time arguing with people from such small clubs with small mentality.
 
hata mm sitaki ku-argue na plastic fan so i simplify and you are one of the best POYOYO wa uchambuzi.

Who wanna use his precious time just to argue with crack head-empty bolded cat pussy doll?

Go back to ur thread Zombie!!
 
Remember Partrick Berger???

Birthday yake leo #41 ..
 
Attachments

  • 1415644404434.jpg
    1415644404434.jpg
    77.9 KB · Views: 79
Back
Top Bottom