Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp aliombea wote wapoteze,na wamepoteza kweli,Kila Mmoja kadondosha points 2😂😂😂
IMG-20240331-WA0031.jpg
 
Safi. Sisi na City tumegawana points.
Sasa ni sisi na nyie kuhakisha tunashinda mechi zetu zote mpaka tumuache City kwa points 6 hivi. Then hapo nyie mnaweza kupoteza moja, sisi tuwapite kwa point 1 na tubebe zetu kombe
😆😆😆😆😆
 
Safi. Sisi na City tumegawana points.
Sasa ni sisi na nyie kuhakisha tunashinda mechi zetu zote mpaka tumuache City kwa points 6 hivi. Then hapo nyie mnaweza kupoteza moja, sisi tuwapite kwa point 1 na tubebe zetu kombe.
Usiseme sisi na nyie
Sisi tayari ni mabingwa 😂
Tumekaa kileleni hatutoki.

Hatujadili ramli na timu ndogo.
 
Bado unakuja kuwalamba visogo Hawa kuku videri...una moyo sana mkuu...Hawa watatoka pale juu watake wasitake🤠🤠🤠...Saint Anne na kikundi chenu hifadhini haya maneno
Hawa twende nao sambamba kwanza ili tumuache City nyuma. Mwishoni ndiyo wajikanyage tuwapite 😂😂. Kama vipi wabebe ndoo wao ila si kipara.
 
Bado unakuja kuwalamba visogo Hawa kuku videri...una moyo sana mkuu...Hawa watatoka pale juu watake wasitake🤠🤠🤠...Saint Anne na kikundi chenu hifadhini haya maneno
Unaagua kutoka wapi ndugu mjumbe?😂
Liverpool kileleni bingwa Epl.
 
Back
Top Bottom