Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa twende nao sambamba kwanza ili tumuache City nyuma. Mwishoni ndiyo wajikanyage tuwapite 😂😂. Kama vipi wabebe ndoo wao ila si kipara.
Kwenda sambamba haiwezekani
Sisi tayari ni mabingwa kama ulivyosema
 
Unaagua kutoka wapi ndugu mjumbe?😂
Liverpool kileleni bingwa Epl.
Hilo usahau...kile kikombe cha kahawa mlichopata mbele ya Chelsea ndo cha mwanzo na mwsho msimu huu...yaani timu winger yule Luiz sijui anakimbia anaangalia chini ndo watwae EPL🤠🤠..subutuu...j2 mnatupisha pale juu baada ya hapo mtaona vumbi tu linatimka
 
Safi. Sisi na City tumegawana points.
Sasa ni sisi na nyie kuhakisha tunashinda mechi zetu zote mpaka tumuache City kwa points 6 hivi. Then hapo nyie mnaweza kupoteza moja, sisi tuwapite kwa point 1 na tubebe zetu kombe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo usahau...kile kikombe cha kahawa mlichopata mbele ya Chelsea ndo cha mwanzo na mwsho msimu huu...yaani timu winger yule Luiz sijui anakimbia anaangalia chini ndo watwae EPL[emoji1783][emoji1783]..subutuu...j2 mnatupisha pale juu baada ya hapo mtaona vumbi tu linatimka
Huyu mwamba anaitwa Ramsdale.

Hadi sasa hana kombe lolote hata kombe la kawaha huko arse8
Ameona isiwe noma,ajiunge nami kupooza koo na fanta Orange
20230317_140105 (1).jpg
 
Klopp asipochukua EPL msimu huu basi atakuwa looser mmoja ambaye hajawahi kutokea toka Dunia inaanza,[emoji28][emoji28][emoji28]
Mama Cita imejichokea
Yaani timu ndogo kama Arse8 inawasumbua kiasi hicho Cha kudraw kwenu[emoji16]
 
Cha muhimu ni msipoteze mechi. Sisi hatuna nia ya kupoteza game hata moja. Tayari tumeshafungwa na City jana (sare kwetu sisi ni sawa na kufungwa) hivyo hatuna budi kushinda mechi zilizobakia.
Kilichobaki kila mtu ashinde mechi zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ambapo mabingwa basi tutakuwa sisi jogoo wakali mjini[emoji91]
YNWA
 
Cha muhimu ni msipoteze mechi. Sisi hatuna nia ya kupoteza game hata moja. Tayari tumeshafungwa na City jana (sare kwetu sisi ni sawa na kufungwa) hivyo hatuna budi kushinda mechi zilizobakia.
Kilichobaki kila mtu ashinde mechi zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ambapo mabingwa basi tutakuwa sisi jogoo wakali mjini[emoji91]
YNWA
 
Safi. Sisi na City tumegawana points.
Sasa ni sisi na nyie kuhakisha tunashinda mechi zetu zote mpaka tumuache City kwa points 6 hivi. Then hapo nyie mnaweza kupoteza moja, sisi tuwapite kwa point 1 na tubebe zetu kombe.

Kwavile sote Watatu hatukutani tena basi sasa ni muda wa kuombeana Mabaya (injuries) na Njaa (kupoteza points) huku tukijificha kwenye kivuli cha kila mtu ashinde mechi zake.

Kiuhalisia hakuna ukweli wowote kwenye kila Mtu ashinde mechi zake ni kauli ya kujifariji tu lakini ukweli ni kwamba hatuachi kuombeana mabaya ili ujue hilo soma comments za wadau.
 
Salah ni mwamba sana jamani😍🔥👌
 
Attachments

  • IMG-20240401-WA0015.jpg
    IMG-20240401-WA0015.jpg
    500.8 KB · Views: 3
Diaz aendelee kunywa supu ya samaki
Akipata akili inayoikaribia ya Salah, atakuwa mwamba sana
 
Attachments

  • IMG-20240201-WA0004.jpg
    IMG-20240201-WA0004.jpg
    489.5 KB · Views: 5
Safi. Sisi na City tumegawana points.
Sasa ni sisi na nyie kuhakisha tunashinda mechi zetu zote mpaka tumuache City kwa points 6 hivi. Then hapo nyie mnaweza kupoteza moja, sisi tuwapite kwa point 1 na tubebe zetu kombe.
Mwendo ni uleule kama tulivyopanga hakuna kipara kubeba kombe.
 
Kazi inaze mapema wana kibarua cha kwanza kupata meneja wa kumridhi Klopp, eneo lingine ni beki anahitajika mmoja kwan Matip sioni akabakia, eneo lingine ni kiungo mzuiaji mmoja anahitajika ili kua na kikosi kipana cha kwenda jino kwa jino na timu bora ligi kuu na klabu bingwa.

Kingine na hili la Salah bado bei yake ipo juu huko Waarabuni waamue mapema hii kama anapewa mkataba mpya ama anauzwa na ela afanye yale ya Countinho.. VVD nae mkataba haupo mbali sana na pia Trent.

Upande wa kushoto beki nako naona wapatazame maana Tsimikas ubora wake umechuja sana tofauti na zamani ndio maana hata akiwa mzima Klopp bado anamchagua Gomez

Kikosi kitakua Amorim kocha

Allison
TAA.. Beki mpya.. VVD.. Robo

Domy.. Kiungo mpya.. Macca

Salah.. Nunez.. Diaz

Endo ni safii ila umri haurudi nyuma anahitaji apewe msaada ili kuzuia majeraha ya muda mrefu na Bajetic ndio yule hatuelewi lile jeraha kama halitamsumbua kwa kipindi gani.

YNWA
Bila McAllister?

Konate!?
 
Kwavile sote Watatu hatukutani tena basi sasa ni muda wa kuombeana Mabaya (injuries) na Njaa (kupoteza points) huku tukijificha kwenye kivuli cha kila mtu ashinde mechi zake.

Kiuhalisia hakuna ukweli wowote kwenye kila Mtu ashinde mechi zake ni kauli ya kujifariji tu lakini ukweli ni kwamba hatuachi kuombeana mabaya ili ujue hilo soma comments za wadau.
Sisi tunawaombea nyie mema ila nyie mbatuombea mabaya na njaa. Kidooogo tunawarudishia mara moja moja ila kikubwa kwetu ni kipara asishinde.

Sasa wema wetu nyie wenyewe mnalazimisha uwe ubaya. Tunawaombea dua, Saint Anne anaziita dua zetu ramli. Tunaleta urafiki ila nyie mnalazimisha uadui 😂.

Mjue tu kwamba mkitukana tukiwa bado mechi 9, na sisi tutawakana wakati tunanyanyua kwapa 😂
 
Back
Top Bottom