Kazi inaze mapema wana kibarua cha kwanza kupata meneja wa kumridhi Klopp, eneo lingine ni beki anahitajika mmoja kwan Matip sioni akabakia, eneo lingine ni kiungo mzuiaji mmoja anahitajika ili kua na kikosi kipana cha kwenda jino kwa jino na timu bora ligi kuu na klabu bingwa.
Kingine na hili la Salah bado bei yake ipo juu huko Waarabuni waamue mapema hii kama anapewa mkataba mpya ama anauzwa na ela afanye yale ya Countinho.. VVD nae mkataba haupo mbali sana na pia Trent.
Upande wa kushoto beki nako naona wapatazame maana Tsimikas ubora wake umechuja sana tofauti na zamani ndio maana hata akiwa mzima Klopp bado anamchagua Gomez
Kikosi kitakua Amorim kocha
Allison
TAA.. Beki mpya.. VVD.. Robo
Domy.. Kiungo mpya.. Macca
Salah.. Nunez.. Diaz
Endo ni safii ila umri haurudi nyuma anahitaji apewe msaada ili kuzuia majeraha ya muda mrefu na Bajetic ndio yule hatuelewi lile jeraha kama halitamsumbua kwa kipindi gani.
YNWA