BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Nyumbu watakufa tu ,, kikubwa asipozwe na mashambulizi. Dakika 1 mpk ya mwisho ashambuliwe kama nyuki walio pigwa moshi.Dah natamani Jota angekuwepo
Ningekuwa na amani sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbu watakufa tu ,, kikubwa asipozwe na mashambulizi. Dakika 1 mpk ya mwisho ashambuliwe kama nyuki walio pigwa moshi.Dah natamani Jota angekuwepo
Ningekuwa na amani sana.
Moshi hutumika kutuliza nyuki na kuwafanya warelax wasikasirike wakati wa kuvuna asali. Je, unasema mnataka kuwachezea nyumbu game laini laini na kuwashambulia mkiwa mmerelax?Nyumbu watakufa tu ,, kikubwa asipozwe na mashambulizi. Dakika 1 mpk ya mwisho ashambuliwe kama nyuki walio pigwa moshi.
Mara hii watatepeta maana wametuzoea sanaMoshi hutumika kutuliza nyuki na kuwafanya warelax wasikasirike wakati wa kuvuna asali. Je, unasema mnataka kuwachezea nyumbu game laini laini na kuwashambulia mkiwa mmerelax?
Bado tuko pamoja wembe ni ule ule man hamna kumwacha apumue.Vipi. Bado tuko pamoja kumkimbiza Kipara au leo mtapigwa na Sheffield na kutuachia sisi hii kazi tuifanye wenyewe?
Na hii ni refa/VAR ilitubeba?
Tunaongeza 1 tuMatokeo yabaki hivi hivi au wa nyumbani apoteze.
SidhaniTunaongeza 1 tu
Kwamba?Matokeo yabaki hivi hivi au wa nyumbani apoteze.
dakika bado zipoKwamba?
Naunga mkono hojacoamin kelleher tangu achukue namba hajapoteza mechi kwa 90 mnts. Amalizie ligi tu. Allison tukutane nae August