Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG-20240405-WA0008.jpg
 
😂😂😂
Hakuna wanaume wavumilivu kama Arse8
Kama wameweza kuvumilia miaka 20 bila EPL,wala kikombe chochote Cha maana basi hakuna kitu watashindwa kuvumilia😂
Wanavumilia kila kitu kasoro wanawake wasumbufu. Unamkumbuka Nelson Mandela alivumilia miaka 27 jela huku akiendelea na mapambano ya uhuru huku akiminywa vya kutosha na wakaburu? Hapo yuko na mke wake katika pambano. Ila alipotoka jela na kuishi kihalisia katika ndoa yake, hakutoboa miezi 6.
 
🚨🟢🦁 #LigaPortugal |

🗣Talks continue between Raul Costa, the agent of Ruben Amorim, and Liverpool

✅️ Ruben Amorim is prepared to join Liverpool. The Reds are leading the race to sign the Portuguese Coach

🏆 Amorim is now focus to win all the trophies with Sporting

footmercato.net/a2300740036014…
"...leading the race..."
Kwani nani mwingine ansmtaka huyo jamaa?
 
Wanavumilia kila kitu kasoro wanawake wasumbufu. Unamumabuka Nelson Mandela alivumilia miaka 27 jela huku akiendelea na mapambano ya uhuru huku akiminywa vya kutosha na wakaburu? Hapo yuko na mke wake katika pambano. Ila alipotoka jela na kuishi kihalisia katika ndoa yake, hakutoboa miezi 6.
Hivi Samora alikatiza pale?
 
83.1% - Liverpool enjoyed 83.1% possession in last night’s match against Sheffield United, a record by a team in a Premier League match since Opta began recording this data in 2003-04. Domination.
You Reds! That possession stat is just insane! 83.1%?! Domination indeed. Controlling the game like that and taking the win - that's the Liverpool we love to see! #YNWA
 
Back
Top Bottom