Kesho ndio utajua kwamba Liverpool is never a one man teamIli game vs Man u tushinde tunamuhitaji Jota lakin hawa akina Lucho kazi kukimbia na mpira tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ili game vs Man u tushinde tunamuhitaji Jota lakin hawa akina Lucho kazi kukimbia na mpira tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Bayern Leverkusen katika Michezo 6 iliyobaki wanahitaji washinde mchezo mmoja tu watangaze Ubingwa na hata wakipoteza mitano iliyobakia haitawaathiri chochote.
Nadhani Harry Kane ameshakuwa destined kumaliza career yake bila ya Kombe that's why baada ya kujiunga Bayern tu basi wamepoteana.
Acha uongo.Sijui. Nakumbuka Samora Machel alikuwa na wife wake, Graça Machel. Alipoachana na Graça, Nelson Mandela akaja kumuoa Graça.
sio washinde tu peke yake pia matokeo kwa upande wa bayern munich ni afungwe ndio leverkusen watakuwa mabingwa.
au leverkusen ikitokea aka draw mchezo unaofuata na bayern munich nae aki draw ,basi leverkusen pia watakuwa mabingwa apo.
Aaah yes. Uko sahihi. Asante sana.Acha uongo.
Samora alitunguliwa kombora la ndege akafa. Sio kwamba waliachana (divorce).
Graca amekuja kuolewa na Mandela baada ya miaka kibao akiwa tayari ni mjane.
ushindi gani Mkuu wa papatupapatu? tumemiliki mpira 83.1% tumeweka record epl hakuna timu ilishawahi kufanya hivyo. mbona tuliwazidi kila kitu.Hamna timu ya kuwafunga manyumbu nyie, kama Sheffield mnapata ushindi wa papatupapatu, sa manyumbu itakuwaje?
Vile walivyocheza Sheffield, fikiria Man U mbele Kuna Garnacho, Hojlund na Antony.ushindi gani Mkuu wa papatupapatu? tumemiliki mpira 83.1% tumeweka record epl hakuna timu ilishawahi kufanya hivyo. mbona tuliwazidi kila kitu.
sheffield kupata goli ambalo Lile goli tumejifunga wenyewe Mkuu, mkuu ukimuondoa arsenal, liverpool ndio timu iliyofungwa magoli machache hapo epl. halafu hapo wachezaji uliowataja wanamagoli mangapi kila mmoja? maana sasa hivi man united hawashangilii tena ushindi bali wanashabikia chenga au mchezaji katoa pass nzuri basi wanakuambia mtaweza kushindana na huyo? hao Wote uliwataja hakuna world class player hapo , hakuna mchezaji wakupata kura hata moja kwenye tuzo ya mchezaji bora wa dunia yoyote. tusubirie uwanjani tu ila kututishia wachezaji wenu bado sana ,wachezaji menu wavivu sana na mpira wenu wakukaa nyuma huo mpaka sasa epl mmecheza mechi 30 mmefungwa mechi 12 kati ya 30 , liverpool kafungwa mechi mbili tu ndio timu iliyofungwa mechi chache kwenye epl halafu eti unawatishia nyau eti, khaa haya maajabu. klopp hafungwagi mara 2 mkuu.Vile walivyocheza Sheffield, fikiria Man U mbele Kuna Garnacho, Hojlund na Antony.
Unacheza na Sheffield na mnatoka GG, magoli yenyewe hadi kipa achome
I beg to differ, mkuu. Kwa stats tunaenda kushinda hii mechi pasi na shaka. Albeit, Draw ni moja ya matokeo tegemewa.My Prediction today 👇
- Liverpool winning 25%
- Manure Winning 35%
- Draw 40%
As long as kwenye utabiri wangu hakuna result iliyovuka 50% basi lolote laweza kutokea but mathematically ni lose or draw, even though I'm going for a draw.
ukumbuke haya maneno yako.Nyie kuku leo tunaenda kuwanyonyoa palepale tuliposhia kwenye FA Cup kipigo kinaendea