Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

umeona maneno yao wanasema et hupaswi kuwa pale haahaa zama zao zimeisha kombe lao walichukua wakiwa na fergie toka hapo sijui ni miaka mingapi imepita.
Wao ndiyo hawastahili kuwa hapo walipo. Timu inaingia uwanjani leo ina points chini ya 50, GD -1, kama siyo aibu ni nini? Wanafanya nini pale nafasi ya 6? Washuke mpaka 13-14 huko bhana. Huku juu watuachie sisi tulio serious na boli.
 
Back
Top Bottom