Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijaona sababu ya Watu kupanic na kuanza kutukana kocha na Wachezaji.

Tatizo la sasa Madogo wanaingia uwanjani na matokeo mfukoni hata tunapowaelekeza sura ya mchezo ilivyo huwa hataki kukubali hatimae mambo yakiwa sivyo walivyotarajia wanaanza kupanic na kurusha matusi.
 
Klopp bora alivotangaza kuondoka, huwa inajulikana tuu mechi za hivi hawezagi kushinda kamwe, Pep hanaga ujinga wa hivo

Bado sare ingine ya either Everton away au Spurs at home, shuhuli inaisha
 
Sijaona sababu ya Watu kupanic na kuanza kutukana kocha na Wachezaji.

Tatizo la sasa Madogo wanaingia uwanjani na matokeo mfukoni hata tunapowaelekeza sura ya mchezo ilivyo huwa hataki kukubali hatimae mambo yakiwa sivyo walivyotarajia wanaanza kupanic na kurusha matusi.
Ngwaba, Kila mtu anayo haki ya kuwa na Personal Judgement kwa mchezaji.

Hatulazimishani kuamini kile mtu anacho kiamini.
 
hii timu tumejaza takataka!
angekuwepo jota tungekua tumeshinda hii game, diaz ni kiazi sana!
Dah so Diaz ni kiazi?! Mnaangaliaga mpira au mnasikiliza redioni. Mtu anafanya movement relentlessly 90' every match (kakosa utulivu kidogo tu) toa Diaz unaweka nani kule pembeni atakaeclick vizur?!
 
Back
Top Bottom