Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hichi kitu kwenye mpira huwa hakina uhalisia hata kidogo.

Huyo Jota anaweza kucheza mechi hii na asipate goli hata la kubahatisha kama tulivyowahi kuona kwenye mechi nyingi tu.
Nashangaa wanavyosema kuhusu jota mara kumi waongelee pasi za TAA
 
Ngwaba, Kila mtu anayo haki ya kuwa na Personal Judgement kwa mchezaji.

Hatulazimishani kuamini kile mtu anacho kiamini.
Bdo Everton au Aston Villa alowahi kukutwisha goli saba pale Villa Park...mmojawapo lazima abutue sufuria la mboga mkose wte🤣🤣🤣...hku West Ham naye akijipa matumaini kwmba hawa tunaweza kabisa kuwasimamisha hawa....rasmi leo mmeonesha hamuwezi kuwa mabingwa....labda mliibe kombe
 
Na bado Sie kazi yetu kuwatibulia tu bado aseno naye lazima adondoshe points......msifanye kosa city akakaa juu pale ubingwa utabaki kwa dogo janja.
 
Bdo Everton au Aston Villa alowahi kukutwisha goli saba pale Villa Park...mmojawapo lazima abutue sufuria la mboga mkose wte[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...hku West Ham naye akijipa matumaini kwmba hawa tunaweza kabisa kuwasimamisha hawa....rasmi leo mmeonesha hamuwezi kuwa mabingwa....labda mliibe kombe
Uko sahihi kwa uzezeta niliouona leo kuanzia kwa Kocha mpaka Wachezaji hatuna chetu tena.

Aston villa Away
Everton Away
West ham Away
Fulham Away
Kuna mechi 2 hapo tunakufa vizuri kabisa na 2 draw.
 
Uko sahihi kwa uzezeta niliouona leo kuanzia kwa Kocha mpaka Wachezaji hatuna chetu tena.

Aston villa Away
Everton Away
West ham Away
Fulham Away
Kuna mechi 2 hapo tunakufa vizuri kabisa na 2 draw.
Mkuu mm siwachukii ila nikiwaangalia Pattern ya uchezaji wenu aisee iko very predictable....hamna plan B wala C...sasa kwa sasahvi ni ngumu sana kwa style hiyo....nna wasiwasi sana ikitokea tukateleza wte Kipara akakaa pale juu...basi hili jambo litakuwa limeishia hapa....halafu watu wanasema Liver ana mechi rahisi nikiangalia opponents walobaki sio wepesi...plus na mechi za Alhamisi europa huwa zina kaupumbavu fulani
 
Klopp kaisha inua mikono tayari
Screenshot_20240407-203605.jpg
 
[emoji24][emoji24][emoji24]What is this! This is it [emoji23]
Screenshot_20240407-192004.jpg
 
Mimi nilishasema Liverpool hatoki Kwa hizi game mbili kwenye fixture ...

Against man utd
Against spurs


Hizo nyingine zitakuwa Bahati mbaya ...

Arsenal anarukaruka lakin atakuja kulia tu Ni swala la muda [emoji23],hizi game Arsenal lazima ataita maji mmaaaa

Against spurs
Against Chelsea
Against united ( hapa ndio pabaya maana Ni game ya Pili kutoka mwisho )

Game ya city ngumu Ni Spurs tu ....
 
Mimi nilishasema Liverpool hatoki Kwa hizi game mbili kwenye fixture ...

Against man utd
Against spurs


Hizo nyingine zitakuwa Bahati mbaya ...

Arsenal anarukaruka lakin atakuja kulia tu Ni swala la muda [emoji23],hizi game Arsenal lazima ataita maji mmaaaa

Against spurs
Against Chelsea
Against united ( hapa ndio pabaya maana Ni game ya Pili kutoka mwisho )

Game ya city ngumu Ni Spurs tu ....
Kifupi timu yenye uwezo ni ya kipara tuu, hizi nyingine zinambwelambwela tuu
 
Mimi nilishasema Liverpool hatoki Kwa hizi game mbili kwenye fixture ...

Against man utd
Against spurs


Hizo nyingine zitakuwa Bahati mbaya ...

Arsenal anarukaruka lakin atakuja kulia tu Ni swala la muda [emoji23],hizi game Arsenal lazima ataita maji mmaaaa

Against spurs
Against Chelsea
Against united ( hapa ndio pabaya maana Ni game ya Pili kutoka mwisho )

Game ya city ngumu Ni Spurs tu ....

Hakujawahi kuwa na mpira wa aina hii hata siku moja
 
Ndiyo kuwepo kwa Jota sio sababu.

Hata Salah asingekuwepo basi watu wangesema "angekuepo Salah tungeshinda".

Kiuhalisia kwenye mpira hakuna kitu kinachoitwa angekuepo fulani.

Kwenye mpira hichi hakipo kabisa ndiyomana tulishinda Champion League tukiwa na Origi wakati tungelikosa ingelaumiwa uwepo wa Origi.
Jota ni very clinical mbele ya goli mkuu, huwezi kumlinganisha na kina diaz/nunez
 
Dah so Diaz ni kiazi?! Mnaangaliaga mpira au mnasikiliza redioni. Mtu anafanya movement relentlessly 90' every match (kakosa utulivu kidogo tu) toa Diaz unaweka nani kule pembeni atakaeclick vizur?!
anakosa sana magoli, na tunahitaji magoli sio mikimbio mkuu
 
Sio kwamba ninajua kubeti bali huwa najaribu sana kuwa na nidhamu na kuongelea uhalisia.

Tokea mechi ya kwanza ya Anfield nilijua kuwa msimu huu tutapata tabu kwa Manure.

Haya yote nimeangalia History na Mentality ya Manure dhidi ya Liverpool hasa baada ya matokeo mabovu ya Manure kwa msimu uliopita kwa vyovyote Ten Hag asingekubali tena unyanyasaji.

Hata hivyo hongera kwa LiverpoolFC rasmi leo tumemaliza mechi ngumu kwa msimu huu [emoji122]
Unajua mkuu[emoji109][emoji109][emoji109]
 
Back
Top Bottom