Inchi 7
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 241
- 539
Nashangaa wanavyosema kuhusu jota mara kumi waongelee pasi za TAAHichi kitu kwenye mpira huwa hakina uhalisia hata kidogo.
Huyo Jota anaweza kucheza mechi hii na asipate goli hata la kubahatisha kama tulivyowahi kuona kwenye mechi nyingi tu.