Leo mtupe point zetu 3,mkaendelee kupambania nafasi ya 5 hukoNyie kuku leo tunaenda kuwanyonyoa palepale tuliposhia kwenye FA Cup kipigo kinaendelea
Andika Yalla shoot live utaona mechi chagua ya LivaMwenye link ya kuangalia mechi naomba atupie hapa
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
I beg to differ, mkuu. Kwa stats tunaenda kushinda hii mechi pasi na shaka. Albeit, Draw ni moja ya matokeo tegemewa.
Natabiri point 3 muhimu kwa Liverpool.
Hii ni chance yenu ya kukimbiza GD yetu ili likitokea la kutokea huko mbeleni...Hawa tunapaswa tuende HT at least tunaongoza 2
Shukrani sanaAndika Yalla shoot live utaona mechi chagua ya Liva
umeonaee tulishaondoka na 2 hapa kama sie huyu dogo aliekosa kupiga kimahesabu hapa.Msako heavy unapigwa hapa
Hawa mkiwapiga chini ya 4 mtakuwa mmewaheshimu sanaumeonaee tulishaondoka na 2 hapa kama sie huyu dogo aliekosa kupiga kimahesabu hapa.
Na ndicho kilichotukosti match ya juzi kati na hawahawa.Hii kosa kosa washambuliaji wetu wanayofanya wasije kusababisha tukajuta baadae 🤔
ngoja tuone mkuu kipindi cha pili tunaingia na nguvu na mentality gani ila hope wale goli nyingi waache mdomo.Hawa mkiwapiga chini ya 4 mtakuwa mmewaheshimu sana
see! pengo lake unaliona hapo kabisa.DIOGO JOTA DIOGO JOTA
DIOGO JOTA