Tunamuhitaji sana sana hatuna MUUAJI pale mbele.see! pengo lake unaliona hapo kabisa.
kabisa tulipaswa kwenda mapumziko tuko na goal 3 kama sikosei ukiangalia kwa makini.Tunamuhitaji sana sana hatuna MUUAJI pale mbele.
Wao ndiyo hawastahili kuwa hapo walipo. Timu inaingia uwanjani leo ina points chini ya 50, GD -1, kama siyo aibu ni nini? Wanafanya nini pale nafasi ya 6? Washuke mpaka 13-14 huko bhana. Huku juu watuachie sisi tulio serious na boli.umeona maneno yao wanasema et hupaswi kuwa pale haahaa zama zao zimeisha kombe lao walichukua wakiwa na fergie toka hapo sijui ni miaka mingapi imepita.
see! pengo lake unaliona hapo kabisa.
usiseme kwa nguvu akina carasco putin wasikie.HT kwa Manure
0 shot
0 on target
Bado unataka mechi iishe?Refa si amalize tu mpira na yeye sijui anasubiri nini