Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah so Diaz ni kiazi?! Mnaangaliaga mpira au mnasikiliza redioni. Mtu anafanya movement relentlessly 90' every match (kakosa utulivu kidogo tu) toa Diaz unaweka nani kule pembeni atakaeclick vizur?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Diazi hana tofauti yoyote na Raheem Sterling, atakufurahisha mechi 1 halafu anakukera mechi 5.
 
Konate angekuwepo wala tusinge toa draw Klopp bhana kacheza karata yake vibaya
 
Nimeangalia game za liver kama 3 hivi zilizopita.
Pamoja na kushinda, lakini ushindi wenu hauridhishi.

Niliona mnapata shida kufungua low blocks, mpinzani wenu akiwashambulia mpo open sana, na mnakosa magoli mengi

Nikajua TU Hawa wakikutana na Manyumbu lazima adondoshe points.

Timu yoyote mtakayokutana nayo, kama inacheza low block & transition, basi jua shughuli itakuwa ngumu
 
Livanyeto mnabebwa sana kama vipi tukutane tuzichape kavu kavu maana uwanjani mnabebwa lakini ndo hivyo hambebeki
Hapa tunazungumzia lugha ya Mpira Wewe unaleta lugha za Chitchat na MMU jaribu kuwa na ustaarabu hata kama ni anonymous
 
Mchezo unaofuata tukishinda hizi comments za leo za kulaumu/kutukana/kudharau zinapotea na kuanza kusifia.
We jamaa unapenda sana kusema ukweli. Ila elewa kuwa wenzako sasa hawahitaji ukweli. Wao wanataka kusikia kile watakacho wao. Wadanganye kidogo.
 
| A meeting between Ruben Amorim’s agent and Liverpool is scheduled for tomorrow to negotiate the final terms of the manager’s contract to become the club’s new manager. [@pedromsepulveda]
 
Andika lugha ya Mpira Mkuu halafu adabu sio kama nguo nzuri ukivaa ukatoka nje watu watakuona na kukusifia, lugha za hovyo sio Ujanja ili ni ujinga tu.
Lugha ya mpira peleka skysport mchambuzi uchwara
 
Jota ni very clinical mbele ya goli mkuu, huwezi kumlinganisha na kina diaz/nunez

Unajua ni mechi ngapi huyo Jota amecheza na tukafungwa au kutoka sare? Je hiyo Clinical yake huwa inaenda wapi?
Na kuna mechi ngapi amecheza na hajafunga goli hata la offside?
Au Clinical yake ipo kwa Manure tu?
Na wapi mulipata uhakika kuwa akicheza Jota ni lazima amfunge Manure?
Au kuna uhakika gani akifunga yeye goli ndiyo kushinda kwa hiyo mechi?

Mbona munahama kwenye mpira na kuzungumzia mambo ya kihisia sasa?
 
We jamaa unapenda sana kusema ukweli. Ila elewa kuwa wenzako sasa hawahitaji ukweli. Wao wanataka kusikia kile watakacho wao. Wadanganye kidogo.

Vijana wanapenda zile Story za Saint Anne za kuwa tutamfunga Manure 10 ndiyomana nilipoweka zile prediction zangu za kuwa Mechi ni sare au tunaweza kupoteza kuliko kushinda wakaanza kupinga.

Hawakujua kuwa kwenye utabiri niliangalia Factors nyingi sana tofauti nao wanachoangalia ni kimoja tu kuwa tulimfunga 7 hivyo kila mechi wanaangalia na matokeo yao mfukoni.

Wakishapoteza mchezo wanaanza matusi.

Hawa kiufupi ni wale washabiki wa Simba na Yanga ndiyo wamefika huku tena juzi 2016/17 tu baada ya kuja Klopp hapa Liverpool.
 
Nothing personal, ila tatizo lako mkuu ni kujiona huko sahihi kwa kila post yako. Napenda kuwatetea hao wanaokupinga, hata wao wako sahihi ni vile hujaangalia factors walizoangalia wao. That's it.
 
Washabiki uchwara hao wanvuma na upepo,
nashangaa watu wanavyomlaumu Diaz ila sijaona mtu akimuongelea Nunez kabisa wakat hakuwa mchezoni dk zote 90.
Liver uharo, liver kuku, liver melon , liver kifaranga
Mmeshakata moto kudadeki
 
Nothing personal, ila tatizo lako mkuu ni kujiona huko sahihi kwa kila post yako. Napenda kuwatetea hao wanaokupinga, hata wao wako sahihi ni vile hujaangalia factors walizoangalia wao. That's it.

Niambie ni factors gani uliyoiangalia kwao inayosapoti haya mambo mawili 👇

1) Kungalia mpira ukiwa na matokeo mfukoni.
2) Kutukana Wachezaji baada ya matokeo yaliyowekwa Kibindoni iwapo hayakutokea.

Mimi sipo sahihi lakini naomba unisahihishe kwa hayo mambo mawili kwasababu kama mtu kadiriki kuwa na matokeo yake mfukoni inamana alijuwa kuwa Wachezaji wake ni wazuri sasa huo ubovu baada ya dakika 90 umetokea wapi?

Kama alijuwa Salah, Gakpo, Diaz, Quansah ni wabovu alikuaje akawa na matokeo yake Mfukoni kuwa lazima Manure atakufa?

Hebu turudi kwenye logic kwa kunipa ufafanuzi wa hayo 👆 niliyoyaandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…