Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Washabiki uchwara hao wanvuma na upepo,
nashangaa watu wanavyomlaumu Diaz ila sijaona mtu akimuongelea Nunez kabisa wakat hakuwa mchezoni dk zote 90.

Kuna wachezaji hawawezi kulaumiwa kwasababu kila Mtu anaingia kibanda umiza akiwa na furushi la wachezaji wake wa kulaumu na wachezaji wake wa kusifia.

Haijalishi wamecheza vipi lazima tu wale aliojiandaa kulaumu atawalaumu na aliojiandaa kusifia atawasifia.

Mimi mwanzo aliposajiliwa nilikosoa kuchezeshwa Wataru kwasababu alianza na poor performance lakini alipoclick nikaacha kumkosoa Klopp. Sasa kuna watu hawapo hivyo wao wanashambulia mchezaji wasiye mpenda na si kwasababu ya anachokifanya uwanjani.
 
diaz mtu sana.. mule kuna mchanganyiko wa mane kwenye upande wa kujituma uwanjani pamoja na neymer jr upande wa samba soccer.

nunez yeye apunguze utoto tu ila ni forward ya hatari sn pia.
 
Don't get it twisted, sipo hapa kukusahihisha wala kujaribu kutafuta data wanazotumia hao wadau wanaokupinga.
Ila tukirudi kiuhalisia wote mpo sahihi kwa namna yenu mnavyoona uelekeo wa mechi, nilikua najaribu tu kukufanya utake kuona, kujua au kuwauliza hao wadau wanaokupinga, ni factors zipi wanazoangalia kupredict matokeo, ili nao wakuelewe unatokea wapi. Hivyo tu mkuu.
 
Tusipochukua nakuombea uchukue mkuu sio kipara aisee.
Tupambane tuombe wote tushinde mechi zetu zote na kipara apoteze hata 3 😁. Niongoze ligi, ufuate wewe, halafu yeye. Ikishindikana basi sisi tubadilishane nafasi ila yeye asizidi wa 3 😁.
 
Huu ni ushkaji wa mashaka🀠🀠...hakuna urafiki wa hivi..sisi tunaombea Livakuku a draw tu mechi 2 ila kipara afungwe...Klopp akabebe Europa kule linamtosha...aache tamaa ya makombe mengi huo ubavu hana

sure mkuu ndio lakuombe hili naona mashabiki wa manyumbu hawataki hatab wewe uchukue wanataka kipara achukue eti haahaa washapoteana sijui ni mwaka wangapi huu kombe hawalijui.
 
Huu ni ushkaji wa mashaka🀠🀠...hakuna urafiki wa hivi..sisi tunaombea Livakuku a draw tu mechi 2 ila kipara afungwe...Klopp akabebe Europa kule linamtosha...aache tamaa ya makombe mengi huo ubavu hana
wewe huelewi hilikombe nisipobeba mimi beba wewe na sio kipara ndio karata yetu tupambane kwa hilo dua mbaya sana kwake adrow ama apoteze roho mbaya roho mbaya tuu.
 
kama ndio rahisi hivyo mbona liverpool kafungwa mechi 2 tu mpaka sasa kwenye ligi? washindwe ulaya kumzibiti liverpool uone wewe huku bongo? maajabu haya.
 
sure mkuu ndio lakuombe hili naona mashabiki wa manyumbu hawataki hatab wewe uchukue wanataka kipara achukue eti haahaa washapoteana sijui ni mwaka wangapi huu kombe hawalijui.
Acha sisi twenzetu kivyetu. Mimi namkubali sana Kipara na nina appreciate kazi aliyofanya ila inatosha kwa kweli. Wakati umefika wa kwake kupata ushindani wa maana na kuanza kutolewa jasho na wazee wa ligi OG, yaani Arsenal, Liverpool na Manyumbu. Sasa kama manyumbu hawataki kujiunga nasi kurejesha hii ligi mikononi mwa wamiliki halali, waache walale sisi tupambane. Ikiwezekana waungane wawe timu moja wote waitwe Mamacita ili wabebwe na dada zao na sisi tuwapige wote kwa pamoja.
 
Huu ni ushkaji wa mashaka🀠🀠...hakuna urafiki wa hivi..sisi tunaombea Livakuku a draw tu mechi 2 ila kipara afungwe...Klopp akabebe Europa kule linamtosha...aache tamaa ya makombe mengi huo ubavu hana
Hata usipokuwa urafiki, unakuwa muungano (alliance). Tufanye mambo ya ki Game of Thrones flani hivi tumshinde Kipara kwanza halafu baadae tunaweza kugeukana.
 
Kwasababu hatujamfunga Manure?
Ni sababu pia, embu angalia pia makosa ya kitoto kabisa yaliyofanyika kwenye hiyo mechi yameonesha jinsi gani hatuja mature

Kipara ikifika stage kama hii yupo kileleni hata acheze na timu gani hatoki kileleni ng'oo
 
Tupambane tuombe wote tushinde mechi zetu zote na kipara apoteze hata 3 😁. Niongoze ligi, ufuate wewe, halafu yeye. Ikishindikana basi sisi tubadilishane nafasi ila yeye asizidi wa 3 😁.

Dunia ya soccer sasa hivi imetawaliwa na Washabiki Matokeo Mfukoni πŸ˜€

Nimeona mashabiki wa Arsenal wanaipangia Liverpool kupoteza kwa Spurs na Draw kwa Everton huku wao wakiamini kushinda michezo yote iliyobakia na kubeba Ubingwa πŸ˜€

Sasa ukiangalia matokeo ya Liverpool na hizo Timu mbili kwa miaka yoyote unayotaka kama ni 5 mfululizo au 10 mfululizo ndiyo utacheka mwenyewe sasa Spurs kashinda Lini Anfield au hata sare tu kwa misimu 5 iliyopita ndiyo utapata mshangao kwanini hii Spurs mbovu Arsenal wanajiaminisha kumzuia Liverpool πŸ˜€

Mimi kwa uoni wangu ninaoangalia mpira sina uhakika kama Liverpool inaweza kushinda mechi zote zilizobakia ingawa on paper LiverpoolFC inaonekana ina very easy fixtures compared to Arsenal.

But kwa kuangalia factors zangu za kimpira Arsenal hatomfunga Manure na Spurs naenda zaidi kwa draw 50%, Lose 30% na Win ni 20%.
 
Ni sababu pia, embu angalia pia makosa ya kitoto kabisa yaliyofanyika kwenye hiyo mechi yameonesha jinsi gani hatuja mature

Kipara ikifika stage kama hii yupo kileleni hata acheze na timu gani hatoki kileleni ng'oo

Klopp: "The same boys who today missed a few chances are the ones who brought us to 71 points."
 
Kwny mafanikio hakuna ushkaji Bro...kuna shangazi hmu anaitwa Saint Anne ana maneno ya shombo sana...tukikosa hili kombe sura zetu tutaweka wapi...maana ana maneno ya kufyatua yule kiumbe🀠🀠
Kwa Spurs nawwza kukubalia kuna draw...ila Manunu mkuu hata wapaki kontena pale mbele tunawatwanga...nyny mmefanya kosa sana kutowadunda...hakuna timu rahisi kucheza nayo kama Manunu...maana yapo very open....ngoja hyo siku ifike halafu ntakukumbusha
 
Hapa wengi/karibia wote tunaongea matamanio/ndoto zetu. Wote tunatamani timu zetu zisifungwe kabisa na wenzetu wafungwe lau kidogo na ikiwezekana wapigwe sana tu 😁😁

Muhimu kwangu ni City abaki wa 3. Muhimu kwa Liverpool fans ni Liverpool ashinde. Muhimu kwa Arsenal fans ni Arsenal ashinde. Tunaamini Spurs anaweza kumfunga Liverpool kwa sababu tumeona kama sisi msimu huu Liverpool tunammudu ila Spurs ni tishio kwetu, hivyo atakuwa tishio kwa Liverpool na anaweza kumfunga (logic ya kishabiki zaidi ya logic ya kichambuzi) 🀣.
 
😁😁😁 Saint Anne sijamuona huku wala kule kwetu kwa muda mrefu usio kawaida. Sasa sijui ni ile sare na Manyumbu imemkosesha raha au amejichimbia mahali anatuombea mabaya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…