King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Washabiki uchwara hao wanvuma na upepo,
nashangaa watu wanavyomlaumu Diaz ila sijaona mtu akimuongelea Nunez kabisa wakat hakuwa mchezoni dk zote 90.
Kuna wachezaji hawawezi kulaumiwa kwasababu kila Mtu anaingia kibanda umiza akiwa na furushi la wachezaji wake wa kulaumu na wachezaji wake wa kusifia.
Haijalishi wamecheza vipi lazima tu wale aliojiandaa kulaumu atawalaumu na aliojiandaa kusifia atawasifia.
Mimi mwanzo aliposajiliwa nilikosoa kuchezeshwa Wataru kwasababu alianza na poor performance lakini alipoclick nikaacha kumkosoa Klopp. Sasa kuna watu hawapo hivyo wao wanashambulia mchezaji wasiye mpenda na si kwasababu ya anachokifanya uwanjani.