Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Huyu kocha aende tuuKwahiyo Klopp kaamua atuage na Carabao sio?
- Europa 50% bottled
- EPL inaenda kuwa bottled
Mpaka hapa nimeshakosa uhalali wa kuwakosoa wanaomtukana Klopp.
Hii liverpool inatia kinyaa kuiangalia.
Game rahisi hii,tunachomoa na kushinda
hamna kwa mwendo huuhuu haya mambwa yameingia uwanjani hawajui rekodi ya hii team kutunyima ubingwa enzi za kina suarezNdiyo hatuchomoi? 🤒
sio bure man ni viande kwelikweli wameniharibia mud kabisa weekend imekuwa mbovu.Isije kuwa hawa wangese wanabeti🤔
acha kabisa man hapa hata gol sijui kama tutabahatika tupate hata hio point 1Yaani tunaacha ubingwa kindez namna hii inauma sana maamaaaeeee
ARSENAL niwaombee tuu sasa kama wataweza pambana na kipara hakika.
Nahisi hiki kikosi hakijaijua hio historia na hio clab kuwa ni watu wakutukwamisha leo ilikuwa wacheze kihuni sana.
- 2013/14 Crystal Palace walizizika ndoto zetu za Ubingwa.
- 2023/24 Crystal wanazizika tena ndoto zetu za kubeba Ubingwa.
Ni miaka 10 imepita