Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
sure mkuu nimeboreka sana qmmke sina jinsi.Maana huyu Kloôopppoo na wajinga wake kasanda gemu tayari
Na misimu zote Zina namba 3 na 4 mwishoni...
- 2013/14 Crystal Palace walizizika ndoto zetu za kubeba Ubingwa.
- 2023/24 Crystal wanazizika tena ndoto zetu za kubeba Ubingwa.
Ni miaka 10 imepita
dua zetu ni kwenu kwa kweli mtuwakilishe msife moyo tuko na nyie hata kama tutaishia hapa hope badae utampiga aston villa nyingi.Washkaji mnazingua.Nyi mnajua kabisa sisi kipara hatuwezi kukimbizana naye af mnatupa taulo mapema [emoji2][emoji2][emoji2]
Ile ya 3-3 iliniuma sana kuliko hii.
- 2013/14 Crystal Palace walizizika ndoto zetu za kubeba Ubingwa.
- 2023/24 Crystal wanazizika tena ndoto zetu za kubeba Ubingwa.
Ni miaka 10 imepita
sitaki hata kumzungumzia aniache kabisa manina bora angemaaliza msimu ndio atangaze ama angesepa palepale alipotangaza. Ndio ana historia nzuri na clabu ila hatukutarajia kumaliza nae hivi.toka klop atangaze kuondoka, game zetu zimekua na tension sana, ushindi wetu haujawa wa kuridhisha katika game nyingi tulizoshinda......
siku za karibuni ndio imekua chamgamoto zaidi, tumekua tukipata ushindi wa 'kubahatisha sana'
thank you jurgen, tutakukumbuka kwa mengi.....
pole sana man.
Klopp kihere here chake,angesubiri kutangaza kuondoka kwenye game ya Mwisho wa ligi angepungukiwa ninitoka klop atangaze kuondoka, game zetu zimekua na tension sana, ushindi wetu haujawa wa kuridhisha katika game nyingi tulizoshinda......
siku za karibuni ndio imekua chamgamoto zaidi, tumekua tukipata ushindi wa 'kubahatisha sana'
thank you jurgen, tutakukumbuka kwa mengi.....
Mliomtaka jota alikuepo na hajafungaSio kwamba napenda ligi ila nakataa myth wakati based facts zipo.
Huwezi tu kuniletea myth za kuwa angekuwepo fulani tungeshinda wakati alikuwepo tukafungwa halafu niwe yes boss.
Kabisa Mkuu, zile kosa kosa za Nunez yangekuwa magoli ni ushindi wa kishindo.Klopp anabeba asilimia ndogo ya lawama. Wachezaji kama NUNEZ ndio wanatakiwa waangushiwe jumba bovu.