Ile ya 3-3 iliniuma sana kuliko hii.
Yeye ndie aliyeathiri wachezaji kwa kutangaza kuondoka kwake wachezaji wanacheza wakiwaza ajae watapata no ama vip ama wao watakuwa wapi.Klopp anabeba asilimia ndogo ya lawama. Wachezaji kama NUNEZ ndio wanatakiwa waangushiwe jumba bovu.
toka klop atangaze kuondoka, game zetu zimekua na tension sana, ushindi wetu haujawa wa kuridhisha katika game nyingi tulizoshinda......
siku za karibuni ndio imekua chamgamoto zaidi, tumekua tukipata ushindi wa 'kubahatisha sana'
thank you jurgen, tutakukumbuka kwa mengi.....
Imechomoka au bado imoGame rahisi hii,tunachomoa na kushinda
Mliomtaka jota alikuepo na hajafunga
Hii timu imekuwa ya kipumbavu sanaTuliwaambia ndugu zetu upepo wenu utakata mbio ndefu hamuwezi mkawa mnaishi kwa historia
Saint Anne upitie livescore unisreenshotie matokeo na msimamo View attachment 2963638
Acha uxenge...
- 2013/14 Crystal Palace walizizika ndoto zetu za kubeba Ubingwa.
- Kombe alibeba Man City.
- 2023/24 Crystal wanazizika tena ndoto zetu za kubeba Ubingwa.
- Ni miaka 10 imepita, Je kombe atabeba tena City? Mimi kura yangu ipo kwa Arsenal.
Nkamu hapa Arsenal achukue ubingwa au vipi??Hii timu imekuwa ya kipumbavu sana
Pumbav sana liver 🚮
All the best Arse8 Wajaa laana
Toeni gundu la kutoka mikono mitupu
Hawajafanya poa kabisa. Hawa ni yule rafiki mwenye mbio ambaye mkitembea wote akimuona mbwa mkali anamchokoza, halafu anatoka nduki na kukuachia msala...Washkaji mnazingua.Nyi mnajua kabisa sisi kipara hatuwezi kukimbizana naye af mnatupa taulo mapema [emoji2][emoji2][emoji2]
Achukue tuNkamu hapa Arsenal achukue ubingwa au vipi??