King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
pole sana man.
Striker la mihemkoNunez ni mchezaji ghali wa muda wote liverpool , Benifica walipiga €100 kwa liverpoolView attachment 2962214
Acha uxenge...
Bado mechi kadhaa zimebakia.
🤣🤣🤣🤣 Nkamu basi kunywa maji upoze machungu..!!Achukue tu
Hili Litimu michezaji imekuwa mitakataka
Toka ile mechi ya utd timu imekuwa ya kishenzi tu
Klopp hata kama ni kuchoka not to that extent kubabeki🚮🚮🚮
Mimba imeng'ang'ania🤣Imechomoka au bado imo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2969][emoji2969][emoji2969][emoji120][emoji120][emoji120]dua zetu ni kwenu kwa kweli mtuwakilishe msife moyo tuko na nyie hata kama tutaishia hapa hope badae utampiga aston villa nyingi.
Calm down Saint Anne yatapita tu
Yaani Klopp anatukanwa nilikaa kimya ila dah kwa sababu najua sisi siyo malaika tucheze bila kupoteza
Kuna kupoteza ila siyo mfululizo hivi jamani 😭
Bado Ligi haijamalizika huu msimu tunabeba Kombe la EPL hutoamini.
MARK THIS POST
inauma sana kaka heri tungefanya vibaya tukiwa na majeruhi wengi eti kipindi cha majeruhi madogo waliopandishwa wakapiga mbungi majeruhi wamerudi tumeoza kabisa dah!Dah! Yani vipigo back to back ndani ya Anfield tena vya Cleansheet kabisa.
Unapita unyumbuni kila siku Nkamu unavyojisikia sisi tumezoea nadhani unatuona😃😃😃Yaani Klopp anatukanwa nilikaa kimya ila dah kwa sababu najua sisi siyo malaika tucheze bila kupoteza
Kuna kupoteza ila siyo mfululizo hivi jamani 😭
Nyie mnaomponda Klopp na kuona hajafanya loloteWale watetezi wa Klopp nadhani tushaelewana