Your so negative dude. Paredi itafanyika lengo ni kumuaga KloppWe are losers
Cha ajabu utashangaa mwisho wa msimu tunafanya paredi ya kushangilia carabao huku tukijisifu kuwa paredi yetu imekua bora kuliko paredi ya treble ya Man city
Hii losing mentality tuliifuga tangu tulipofanya paredi 2022 soon tuu baada ya kupoteza CL kizembe
JidanganyeLadies and gentlemen, we've got a brand new farmers league in town.
City ndo bingwa wako hutaki peleka timu yako ligi ya Togo.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] na mngeshinda leo, cha ajabu mkashinda njaa [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji24]Nilidhani siwapendi mtani...nimekuja kugundua kumbe nawapenda Livakuku[emoji1783][emoji1783]...maneno ya shombo yte nayaacha kuanzia Sasa...Villa wqmetufedhehesha sana
ekuka
Litimu mama cita limekuwa kama CCM.kila siku lishinde lenyewe.. mpira gani sasa huo eti?Anza mazoezi sasa ya kutoangalia EPL kwa mechi zilizobaki kwa sababu pep anaenda kubeba ubingwa tena na msimu ujao tena
Sasa kama unashindwa kushinda mechi zako unataka abebe nani?Litimu mama cita limekuwa kama CCM.kila siku lishinde lenyewe.. mpira gani sasa huo eti?
Tena hiyo moja kwa hisani ya corona virus.Hahahaha miaka 9 ya Klopp EPL moja ๐๐๐๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃLitimu mama cita limekuwa kama CCM.kila siku lishinde lenyewe.. mpira gani sasa huo eti?
Ilikua karibu mno kubeba ule ubingwa.u
llikuuma kwa nn?
Nimefuta kauliArsenal bingwa
2013/14 sio kweli kuwa Crystal palace walizizika ndoto za kuwa bingwa Bali ni Chelsea Tena ile blunder ya Gerrard ya back pass ya Demba Ba hata Crystal palace angefungwa ubingwa ungeenda City tu
Bado Ligi haijamalizika huu msimu tunabeba Kombe la EPL hutoamini.
MARK THIS POST
Punda kabisa
Ndugu yangu hujakosea.Naona nyinyi mumekuwa Kitimoto mwenye mimba kabisa ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Ulizani kuongoza Ligi ni kuandika ujinga? Haya nanyi mumeshapakuliwa sasa! Njoo tena uandike upuuzi.
Yani matakataka yanashindwa kushinda game zao kama sisi Chelsea tunavyoshinda afu eti yanakuja kulia Lia hapa wakati miaka 9 Yana EPL moja ๐๐๐๐๐Sasa kama unashindwa kushinda mechi zako unataka abebe nani?
Au kipara alikuja kuwafunga kamba miguuni leo ๐
Naona matakataka munachambana๐๐๐๐๐คฃ๐คฃNaona nyinyi mumekuwa Kitimoto mwenye mimba kabisa ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Ulizani kuongoza Ligi ni kuandika ujinga? Haya nanyi mumeshapakuliwa sasa! Njoo tena uandike upuuzi.
Mbele kipara? Ligi ishaisha brother, just wapresent tuu kombe kwa CityNiliposema haya maneno baada ya kupoteza mchezo wa leo watu walinicheka lakini mimi nasimamia haya maneno mpaka game ya mwisho ya 38.
Huu msimu tunabeba Kombe la EPL naendelea kusisitiza.
Saint Anne bado unawasiwasi na Ubingwa?
HatuchekaniHalf american dua yetu imekubaliwa