Kamugy T
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,110
- 1,226
Your so negative dude. Paredi itafanyika lengo ni kumuaga KloppWe are losers
Cha ajabu utashangaa mwisho wa msimu tunafanya paredi ya kushangilia carabao huku tukijisifu kuwa paredi yetu imekua bora kuliko paredi ya treble ya Man city
Hii losing mentality tuliifuga tangu tulipofanya paredi 2022 soon tuu baada ya kupoteza CL kizembe