Ww hoja gani unayo zaid ya kufoward? Acha uchoko.Huna hoja na Wewe jifunze kunyamaza huo ndio ujanja
Hz ndio hoja za copy and paste? Angeniambia Captain Marvelous kuwa sina hoja kweli ningetulia ila ww wa copy and paste huniumiz kichwa.Alan Shearer believes Liverpool can't have too many complaints following their Crystal Palace defeat - despite the result being "devastating" for their title hopes.
The Reds toiled and frequently threatened Dean Henderson's goal but were undone by Eberechi Eze's first-half strike
Luis Diaz, Mohamed Salah, Diogo Jota, Darwin Nunez and Curtis Jones were left frustrated by Oliver Glasner's side.
Both Liverpool and Arsenal were looking to keep up the pace with Pep Guardiola's men but suffered respective defeated
Shearer suggests that the pressure is getting to the title-chasers
Matusi ya nini sasa inaonyesha una tatizo la afya ya akili, Sasa huu ujinga unaopost humu kwanini usiende hata chitchat huko?Ww hoja gani unayo zaid ya kufoward? Acha uchoko.
Be a Man mzee Matusi na hasira huwa sio uungwanaHz ndio hoja za copy and paste? Angeniambia Captain Marvelous kuwa sina hoja kweli ningetulia ila ww wa copy and paste huniumiz kichwa.
Unaanza maombi kama ya Malafyale sasa π,
Uzuri Ngwaba huwa hasemi ukweli
Na yote anayoongea huwa yanatokea
Mimi ni nani nibishe??
Acha nije kupumzika huku. Kule kwetu nzi kibao mpaka giza mtu haoni mbele.
Sasa washkaji zetu, huyu kipara tumuache tuendelee na mipango ya ulaya au tukomae naye?
Badala ya kuandika huwa hasemi uongo,nimeandika ukweli π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wewe andaa Kasuti Kako kama kale ka Mama Samia kwa ajili ya kusherehekea Ubingwa wa EPL, bites utavikuta location.
#PamojaTunashindaEPL2024
Kaka ZakariaPale mwisho wa msimu unapopiga mbizi kwenye swimming pool la mishale.
Kwahiyo wewe unaona Liverpool haijafeli?Mashabiki wa Liverpool ndio maana tunaonekana walevi wote....
Mtu yupo kwenye nafasi ya kugombea ubingwa tena kaachwa kwa point 2...tayari kafail....dah!!
Hao wengine 17 waliobaki kwenye ligi tuseme wamefaulu???
Mpaka dakika hii Klopp ana kombe 1 msimu huu kitu ambacho hata huyo unayemuona kafaulu hana....sasa mnataka nini?
Kufungwa na Palace ndio kafail? Timu imepoteza game 3 kama huyo unayemuona wa maana ila yeye hajafail ni Klopp tu....
Sasa ukiona Klopp anakuboa nenda kwa Garmond ...sio wewe tu nenda na jopo lako lote tukutane next season.
Grau relax bro.Hz ndio hoja za copy and paste? Angeniambia Captain Marvelous kuwa sina hoja kweli ningetulia ila ww wa copy and paste huniumiz kichwa.
Naweza coment ninacho jisikia usinipangie kitu cha kupost ndugu, sijaku tag na sikuwahi kukutag kwahyo ni kiherehere chako.Matusi ya nini sasa inaonyesha una tatizo la afya ya akili, Sasa huu ujinga unaopost humu kwanini usiende hata chitchat huko?
Unazingua mzeeBe a Man mzee Matusi na hasira huwa sio uungwana