Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Alan Shearer believes Liverpool can't have too many complaints following their Crystal Palace defeat - despite the result being "devastating" for their title hopes.

The Reds toiled and frequently threatened Dean Henderson's goal but were undone by Eberechi Eze's first-half strike
Luis Diaz, Mohamed Salah, Diogo Jota, Darwin Nunez and Curtis Jones were left frustrated by Oliver Glasner's side.
Both Liverpool and Arsenal were looking to keep up the pace with Pep Guardiola's men but suffered respective defeated
Shearer suggests that the pressure is getting to the title-chasers
Hz ndio hoja za copy and paste? Angeniambia Captain Marvelous kuwa sina hoja kweli ningetulia ila ww wa copy and paste huniumiz kichwa.
 
IMG-20240416-WA0066(1).jpg
 
Mapema leo, wachezaji, wafanyakazi na viongozi waliweka mashada ya maua kwenye Ukumbi wa Hillsborough uliopo Anfield ili kutoa heshima zao katika kuadhimisha miaka 35 ya msiba huo.
IMG_20240416_152619_608.jpg
 
Acha nije kupumzika huku. Kule kwetu nzi kibao mpaka giza mtu haoni mbele.

Sasa washkaji zetu, huyu kipara tumuache tuendelee na mipango ya ulaya au tukomae naye?

Yani hapa ni kama Fisi tu tutafuatana na Kipara mpaka tuhakikishe ameshaingia ndani na kufunga mlango ndiyo turudi maporini.
 
Wewe andaa Kasuti Kako kama kale ka Mama Samia kwa ajili ya kusherehekea Ubingwa wa EPL, bites utavikuta location.

#PamojaTunashindaEPL2024
Badala ya kuandika huwa hasemi uongo,nimeandika ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nilishaandaa nguo zangu pambeee
Liver bingwa

YNWA 🔥🔥
 
Mashabiki wa Liverpool ndio maana tunaonekana walevi wote....
Mtu yupo kwenye nafasi ya kugombea ubingwa tena kaachwa kwa point 2...tayari kafail....dah!!

Hao wengine 17 waliobaki kwenye ligi tuseme wamefaulu???

Mpaka dakika hii Klopp ana kombe 1 msimu huu kitu ambacho hata huyo unayemuona kafaulu hana....sasa mnataka nini?
Kufungwa na Palace ndio kafail? Timu imepoteza game 3 kama huyo unayemuona wa maana ila yeye hajafail ni Klopp tu....

Sasa ukiona Klopp anakuboa nenda kwa Garmond ...sio wewe tu nenda na jopo lako lote tukutane next season.
Kwahiyo wewe unaona Liverpool haijafeli?

2014
2019
2021

Hopes zilikua hizihizi, labda miujiza ndio ianzie hapa sasa, lakini kwa nnavoijua hii timu na mpinzani aliyejuu yetu kipara, Ngoma imeshaisha hiyo

Hata body language ya kina Vandijk inaonesha tayari wameshatupa taulo

Achana na kufungwa na palace, kipimo sahihi kilikua mechi ya Old Trafford, makosa binafsi yasiyoeleweka yalianza kujitokeza pale.

Umesahau zile back to back draw za 2019?

Safari hii ni back to back vipigo na sare
 
Hz ndio hoja za copy and paste? Angeniambia Captain Marvelous kuwa sina hoja kweli ningetulia ila ww wa copy and paste huniumiz kichwa.
Grau relax bro.
Hakuna namna vijana wanahitaji supa recharge hizi gemu zilizobaki tuwe salama na kuwaombea vipigo Manchester City na Arsenal.

Next gemu EPL ni Everton kwao sio powa sanaa kwetu maana kwenye derby hua haina mwenyewe.

Tushikane pamoja kuwaombea mema vijana warejeshe accuracy pale mbele.

YNWA
 
Back
Top Bottom