Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Hawa wote wanaotajwa ni contenders miss Liverpool hakuna mwenye uhakika.Kastaafu mpira 2018?
Na tayari ni kocha Mkuu wa Liverpool tunamchukua kuwa kocha Mkuu
Mbona bado hana uzoefu wa kutosha?
Sawa na Gerrard tu mliyesema bado ni kinda kushika timu kubwa kama Liverpool.
Haya ngoja tuone..
Unai, failure wa Arsena.Anahusishwa kuja kwenuFailure wa aston villa
Anafaa sana sema Aston Villa Wajanja wame pay long-term contract mpaka 2027Unai, failure wa Arsena.Anahusishwa kuja kwenu
Naona mnaenda kwa Arne Slot bonge la Kocha,Hawa wote wanaotajwa ni contenders miss Liverpool hakuna mwenye uhakika.
Yupo Amorim
Yupo Arnie Slot
Nk nk nk
YNWA
Success in villa?Unai, failure wa Arsena.Anahusishwa kuja kwenu
Sina hakika Mkuu kama Umetizama michezo kadhaa ya SPORTING CP, Kama umewatizama Dhidi ya Benfica/Porto utajua huyu Jamaa ana kitu, Msimu Jana kama ulimtizama Dhidi ya Arsenal alienda Jino kwa Jino na ARTETA.Mimi ni muumini wa Makocha wanodeliver uwanjani haijalishi wanacheza mpira gani ndoyomana sikubaliani na analysis za Amorim.
Kwangu, yes. Kwako sijui success unaidefine vipiSuccess in villa?
Ila huyu Amora sijui maalim hata sura ya ukocha hanaHawa wote wanaotajwa ni contenders miss Liverpool hakuna mwenye uhakika.
Yupo Amorim
Yupo Arnie Slot
Nk nk nk
YNWA
Hata Lampard wakati anakaimu Chelsea walikuwa wanampamba hivihiviSina hakika Mkuu kama Umetizama michezo kadhaa ya SPORTING CP, Kama umewatizama Dhidi ya Benfica/Porto utajua huyu Jamaa ana kitu, Msimu Jana kama ulimtizama Dhidi ya Arsenal alienda Jino kwa Jino na ARTETA.
Bado wana Game na PORTO ya Marudiano na PORTO uliwaona UEFA Sio wa kawaida.
Wamiliki wa LIVERPOOL ni Bahili. AMORIM faida anaweza Ipata LIVERPOOL ni kuwepo kwa Wachezaji wengi Ambao mfumo wake utatoa kilicho Bora zaidi TAA na ROBBO kama RWB & LWB, Wanakuwa wanufaika wakuu wa 3~4~2~1/3~4~3 yake.
Kitu anaweza fanya ni sajili chache aendelee pata Matokeo na kikosi hiki huku akiongeza Maingizo mapya Taratibu. Hapa lazima awe na LCB na Majina mazuri sokoni ni Mengi ila Odds inalalia kwa ARNE SLOT zaidi mpaka sasa.
Amorim ni mzuri kama kocha ambaye ameweza chukua ligi ya Ureno mbele ya Benfica na Porto, na msim huenda akachukua tena anaongoza kwa point 7 huku zikiwa zimebaki michezo 4Hata Lampard wakati anakaimu Chelsea walikuwa wanampamba hivihivi
Lampard kabla ya Chelsea alikuwa anatokea DERBY COUNTRY.Hata Lampard wakati anakaimu Chelsea walikuwa wanampamba hivihivi
Ila hajawahi kuwa kwenye EPL,si ndiyo?Amorim ni mzuri kama kocha ambaye ameweza chukua ligi ya Ureno mbele ya Benfica na Porto, na msim huenda akachukua tena anaongoza kwa point 7 huku zikiwa zimebaki michezo 4
Kukua na timu tena?Kwani si anaanza na kukua na timu taratibu? Anakuta timu nzuri tayari hivyo hachukui hata miaka miwili. Wenzake wamekuta timu ziko hovyo zaidi na wametumia miaka mpaka minne kuzifikisha level za ushindani mzuri.
Arterta ana EPL na UEFA ngapi pale Arsenal?Lampard kabla ya Chelsea alikuwa anatokea DERBY COUNTRY.
Sporting CP ni Moja ya TIMU zenye Scout wazuri zaidi miaka ya Karibuni, Hawa wametoa Z Euro 10m kumnunua AMORIM toka BRAGA {Wanajua kwa nini wamelipa}
Huwa Unamzungumzia THOMAS TUCHEL ila sidhani kama unafahamu Mafanikio yake Makubwa yapo na PSG. Ana kila Rasilimali na BAYERN lakini Miaka miwili kombe 1 la Ligi la Bahati ambalo kwa Bayern ni Uhakika msimu ukianza. Amepata Kombe baada ya BVB kusuluhu mechi ya Mwisho. Ni Mwalimu mzuri wa KO ila Ligi inamtesa.
Kwa sasa ni kizazi cha walimu Vijana na AMORIM yupo hilo kundi, Kuna ARTETA, MOTTA, IRAOLA, HOENESS, SLOT, ALONSO na Majina Mengine Mengi. Kwangu naamini AMORIM kulingana na Timu ambayo Ipo tayari LIVERPOOL Angekuwa chaguo zuri Sababu Alonso hapatikaniki kwa sasa.
In a nut shell huyu mwamba ni kopi n pasti Klopp..View attachment 2972156
Wataalam King Ngwaba, The MoNA, Captain Marvelous munaweza kutupatia ufafanuzi kidogo hapa
πππAje Stev G au tumpe Torres?Ila huyu Amora sijui maalim hata sura ya ukocha hana
Huyu hapana Kwa kweli
Atatupeleka matopeni
Kuliko huyu Amorim,heri tumpe tu Gerrard.πππAje Stev G au tumpe Torres?
YNWA
ππΌππΌππΌπ₯π₯Chelsea, Tottenham hawa wote walishamfuata aisee akaona bado hakua tayari kutua Uingereza nadhani sasa anaona muda ndio huu.Naona mnaenda kwa Arne Slot bonge la Kocha,
Nilitamani sana huyu tungempata pale kwetu Chelsea
Haya mambo ya gengeniIn a nut shell huyu mwamba ni kopi n pasti Klopp..
Kuanzia mfumo wake anavyotumia LB na RB kwenye mashambulizi ni typical Klopp way..
Eneo 2 ambalo wako tofauti kwa sasa, ni huyu anatumia proper DM, Klopp anatumia invented DM ya Macca, kwa kua Arne anatumia proper DM kikosi chake kina best rekodi ya kufungwa magoli machache tangu achukue mikoba pale Ferno.
Ukikumbuka Liverpool ya kuanzia 2018 tukiwa na on peak Fabby, Robbo, TAA, nk nk basi ndio uchezaji wa kikosi cha huyu bwana Slot.
Liverpool washaanza mazungumzo na Feyenoord ada inayotajwa ni pound pound 5m to 7m kumtoa alipo.
Edwards yupo kazin naamini atatuletea Mwalimu sahihi kutuvusha tulipo na kusonga mbele.
Klopp alifanya jambo njema sana kutangaza kuodoka mmsimu ukiisha ili kutoa muda wa kutosha kwa FSG kupata mridhi aae ni sahihi.
Akitua huyu bwana ni mwendo wa gegenpressing hakuna kulala ni mchakachaka.
Akiwai kwa bajeti ndogo sana ameshinda taji moja ya Ligi Uholanzi ndani ya muda mfupi mwaka jana
YNWA
Tuchel huyu huyu one season wonder ama yupi. Liverpool hua tuna traditional ways ya kufanya yetu hatutaki kocha wa leo kesho hayupo anaanza mara hiki mara kile ndio maana huoni akitajwa Murinho, Conte au Tuchel.Kuliko huyu Amorim,heri tumpe tu Gerrard.
Mimi nasimama na Tuchel tu.