Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Tuchel fundi sana yule jamaaTuchel huyu huyu one season wonder ama yupi. Liverpool hua tuna traditional ways ya kufanya yetu hatutaki kocha wa leo kesho hayupo anaanza mara hiki mara kile ndio maana huoni akitajwa Murinho, Conte au Tuchel.
YNWA
Miss Liverpool tangu lini TenH alitua na gengen khaa acha kuota wewe.Haya mambo ya gengeni
Hata 7Hag alikuja na gengeni pressing
Mbwembwe hizo
Kwanza ni half teja kashindwa Bavarian aka farmers league in King Ngwaba voice ataweza wapi EPL ya LiverpoolTuchel fundi sana yule jamaa
All the best kwake yupo kwenye laiti track. Epl for sure the next step.
Nadhani Captain Marvelous Arne anatofautiana Kiasi na KLOPP Kwenye Umiliki wa Mpira. Moja ya Changamoto za Msimu Huu kwa KLOPP imekuwa kufungua timu za Low Block.In a nut shell huyu mwamba ni kopi n pasti Klopp
Liverpool wamejikatia tamaa ni mwendo wa kugawa tu 🤣😂😂Liverkukuuuu hoiiii
Koopmeiners labda tuwai mapema sana Chelsea nao wamo.Nadhani Captain Marvelous Arne anatofautiana Kiasi na KLOPP Kwenye Umiliki wa Mpira. Moja ya Changamoto za Msimu Huu kwa KLOPP imekuwa kufungua timu za Low Block.
KLOPP anakuwa na Ubora wake akicheza TRANSITION BASED Game, kuna namna Msimu huu Liverpool Imeadapt Mpira wa Tupasi pasi twa Hovyo kitu ambacho huezi kiona 🎅 a kw kina Mane, Bobby & Salah. Hawa ilikuwa One~two tukimbie.
ARNE anapenda Inverted FB's kitu ambacho KLOPP ameleta kwa TAA ila hakijawa na Matunda kama wakati anawatumia kama Marauding FB's yeye na ROBBO kupiga Krosi. ARNE Inverted wanaongeza Idadi kwenye Build Up na Mara nyingi wanatengeneza Box. KLOPP Mara nyingi Holding wake alikuwa anashuka chini kama Option namba 1 ya Pasi toka kwa GK. FABBY Aliitendea haki hii sehem, Alcantara Klopp alihisi ni Upgrade ila ikawa tofauti.
Kama anakuja ARNE sitashangaa kuhusishwa haya Majinaa Geetruida, Hanco, Wieffer na Captain wake wa zamani Aulkmaar Teuuuun u.
Huyu ni Andy Carol wa sasa.URUGUARY VERSION OF JACKSON.View attachment 2973162